Wale mnaokuja dodoma stendi yahamishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wale mnaokuja dodoma stendi yahamishwa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by GENERARY, Oct 4, 2012.

 1. G

  GENERARY Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Stendi kuu ya mkoa Dodoma yahamishiwa nzuguni (nanenane) na ile ya daladala imesogezwa hapo stendi ya mkoa. kuna usumbufu kidogo, huenda hali hiyo itarekebishwa na wahusika. poleni wasafiri wenzangu
   
 2. M

  Mfukunyuzi Senior Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah xa walisema kwamba wa2 wataripoti jamuhuri stadium au niaje tena
   
 3. N

  Nabihu JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  aaah vipi wamebadilisha location au inakuaje???
   
 4. G

  GENERARY Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Yes location imebadilika
   
 5. mchafukobe

  mchafukobe JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  kutoka huko 8 8 hadi uwanja wa jamhuri naauli haizidi sh 600 kwa daladala
   
 6. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  kwa muda au ndo moja kwa moja
   
 7. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Nane nane kule ni stendi tu so kama mtu unatoka mikoani pale unapanda gar ya kuelekea mjini,hiyo ni stend kuamishwa ila usajili ni jamuuri hapa watu hawajaelewa kwa kujua chuo kimeamisha sehemu ya usaili
   
 8. M

  Mfukunyuzi Senior Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  xaxa vp kuhusu kutoka hapo jamuhuri kwenda chuoni kutakua na mabasi ya chuo au niaje
   
 9. Offline User

  Offline User JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 3,772
  Likes Received: 1,464
  Trophy Points: 280
  mbona siwaelewi? Mtoa mada anaongelea stand kuu kuhamishwa nyie mnaongelea usaili. Wapi na wapi?
   
 10. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  nafikiri baada ya usaili utapanda daladala kwenda chuo
   
 11. Rotten Head

  Rotten Head Senior Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Whats up JF? glad to inform u that the registration venue has been shifted from JAMHURI STADIUM to RESPECTIVE COLLEGES
  More information,pls visit UDOM WEBSITE
   
Loading...