Wale mnaojua kutabiri tunaomba mkeka

Wale mnaojua kutabiri tunaomba mkeka

Kuna watu wakisema jambo litatookea.

Ni wkt muafaka. Magu alijaribu kujua upinzani. Mama anajua anafanyanini. Sasa wale walozi mpoo
Walozi wapo:

"Nitapigania kisicho changu kiwe changu.

Nitapigania kilicho changu kisiende kwa mwingine.

Yule mtu wa kwanza alikuwa na kitu hakukipigania kikamponyoka.

Yule mwingine akakipigania tu akahakikisha anabaki na kile kitu"
Kuna watu wakisema jambo litatookea.

Ni wkt muafaka. Magu alijaribu kujua upinzani. Mama anajua anafanyanini. Sasa wale walozi mpoo
 
Back
Top Bottom