Tawile tawile ameshaisha kwisha kabisaKuna watu wakisema jambo litatookea. Kabisa
Ni wkt muafaka. Magu alijaribu kujua upinzani. Mama anajua anafanyanini. Sasa wale walozi mpoo
Ndiyo Wakati Huu Alileta Thread Kali SanaCC: MAGAMBA MATATU
Anha wazee wa range, embu weka 2030 betweenNATABIRI.
Nchi itapata MSIBA mzito sana kabla ya 2050. Tuseme Tawile
Mbali sana huko huyu havuki 2027NATABIRI.
Nchi itapata MSIBA mzito sana kabla ya 2050. Tuseme Tawile
Mama mpaka 2030Tawile tawile ameshaisha kwisha kabisa
Tukiachana na SIASA niliona majeneza mengi sana yamepangwa pamoja. ni wiki2 na ushee zimepita.Kuna watu wakisema jambo litatookea.
Ni wkt muafaka. Magu alijaribu kujua upinzani. Mama anajua anafanyanini. Sasa wale walozi mpoo
😂😂😂 Asante mkuu kwa kuniita hapa, ila mimi kwenye siasa hakuna kitu nakijuwa, hata ukiniuliza Mh rais aliyopo aliapishwa tarehe ngapi sijuwi.Tajiri Sina BAYA na huku unaweza kuweka utabiri wako😂
2050 huo saaa sio utabiri, ni dhahiri.NATABIRI.
Nchi itapata MSIBA mzito sana kabla ya 2050. Tuseme Tawile
SIO 2026/1/25NATABIRI.
Nchi itapata MSIBA mzito sana kabla ya 2050. Tuseme Tawile
Majeneza tayari ajali ya kugongana magari ya abiria Same Kilimanjaro.Tukiachana na SIASA niliona majeneza mengi sana yamepangwa pamoja. ni wiki2 na ushee zimepita.
Kwenye viongozi sitasema kwa ID hii maana nafahamiana na watu wengi sana na wengine tumeonana live.
Tunza zote hizi ni uhakika100% ni vile huwa sijui muda tu lakini lazima itokee