Mlumendo obeid
Member
- Sep 22, 2011
- 33
- 2
Habari wanajamii.
Nasoma BA ya ECONOMICS nipo mwaka wa 3. Natakiwa fanya selection kat ya hizi
1.INDUSTRIAL ECONOMICS
2.AGRICULTURE
3.LABOUR
4.NATURAL RESOURCES
Hapo natakiwa chagua mbili. Zipi zaweza kuwa na uwanja mpana wa ajira?