Nafahamu wapo wanafunzi ambao wamekosa nafasi ya kuingia chuo mpaka sasa kutoka na wao kung'nga'ania kuchagua vyuo/kozi zenye ushindani hivyo kutupwa nje kutokana na competition.
Habari njema ni kwamba naendelea kuwasaidia wanafunzi katika round hii ya 4 ambayo inaonekana wazi kabisa ndio lala salama.
Hujachelewa piga 0789805698..
N.B... wale niliowasaidia hapa kuanzia round ya 1,2 na ya 3 kiuungwana wakiwemo wanafunzi na wazazi naomba mje mtoe confession hapa maana wengine ni waoga kutokana na utapeli uliotamalaki mitandaoni hivyo kujikuta wakikosa chuo tuu wakati nyie mmeshapata