Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,691
- 149,913
Central Admission System ya TCU (CAS) inaweza kweli kumuacha mwanafunzi mwenye ufaulu mzuri asisome chuo anachotaka?
Selection inafanywa na system kwa kuangali ufaulu wa mwananafunzi na minimum qualifications za kila kozi kama zilivyopanngwa na chuo husika.
Navyofahamu mimi system huchagua wale wenye ufaulu wa juu kujaza nafasi za kozi husika na wale wenye ufaulu mdogo competition inawatupa nje kusubiri option/chagua la pili(ieleweke ni chagua la pili katika first selection yenye options 6 za kuchagua na sio second selection)
Tusisahau pia mwanafunzi anachagua kozi huku akijua competition ikoje kwa kozi hiyo na katika chuo hicho.
Ukikosa nafasi katika chagua la kwanza basi system inakupeleka katika chagua la pili na ukikosa nafasi basi system inakupeleka katika chagua la tatu inaendelea hivyo hivyo mpaka chaguo lako la mwisho.Hapo zelection ya kwanza inakuwa imekamilika kwa waombaji wote.
Kama ulichagua bila kuangalia sifa kwa kila kozi,sifa ya kujiunga kozi kwa kila chuo,nafasi zilizopo kwa kozi husika kwa kila chuo na bila kuangali ufaulu wako,basi utajikuta umekosa kozi zote ulizoomba katika vyuo vyote.
Tatizo huwa linakuja baada ya selection ya kwanza na ya pili kufanyika ambapo kuna vyuo huwa vinakosa wanafunzi na hapo ndipo TCU hupangia wanafunzi waliokosa nafasi vyuo vya kwenda na kozi za kusoma.
Vile vile nakumbuka kabla ya kuwapangia kozi na vyuo vya kwenda,TCU hutoa nafasi kwa waombaji kuomba tena na wanaokosa ndio hupangiwa ila bado wanakuwa na nafasi ya ku-confirm(kukubali au kukataa).
Kwahiyo kama ni udanganyifu basi labda ni baada ya selection ya kwanza na ya pili ambapo wale wenye ufaulu mzuri system inakuwa tayari imeshawapangia kozi katika vyuo walivyoomba hivyo udanganyifu(kama kweli upo) basi huja baadae kujaza nafasi zilizobaki.
Na hata kama ni ku-lobby basi huenda vyuo hufanya hivyo kujaza nafasi zilizowazi na hapa watakuwa wanachukua wale wanafunzi ambao wamekosa pa kwenda na kuwapa nafasi katika vyuo vyao.
Vile vile tusisahau UD kutokana na kuwa na jina ndio inaoongoza kwa kuweka minimum qualifications za juu kwa kila kozi na ndio inaoongoza kwa competition hivyo wengi wanaokosa nafasi UD hukosa kutokana na ushindani na sio kwa hila.