Wale mliofaulu kwa chabo msiombe loan

Wale mliofaulu kwa chabo msiombe loan

Ocean road INA maana mwanafunzi wa Ifm??

pambana kama kweli wa kishua achana na mkopo
 
Ila mkuu ujue mm nilifaul kwa chabo na nimeomba mkopo nimepat na bado naendelea na chabo sema saiz natumia Honda ,nimeamua nicsumbue wenzangu kabs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ukipangwa CIVE UDOM jiandae ku disco,, kikoozi alikuwa ana moto zaidi yako na akadisco CIVE akiwa mwaka wa kwanza.

Wewe mgeni humu hivyo humjui kikoozi

Tafuta threads zake
 
Kwa jinsi usimamiz WA mitihan mwaka huu kwa form Six, kila alie faulu mi najua akitumia akili zake !!!kwa sababu hamna mtihan uliovuja hata mmoja hivyo watu wamesshau kuzungumzia chabo mwaka huu ila sababu Wwe umekumbuka chambo basi nina wasiwasi kwamba ulipiga chabo lkn hukukamatwa tu!!!! All in all Post zako zinareflect how upstairs you are!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom