Wale mliofaulu kwa chabo msiombe loan

Wale mliofaulu kwa chabo msiombe loan

Ocean road

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
631
Reaction score
304
Km ww unajijua ulifaulu kwa mazabe kupiga kijicho kwa rafk yako, madem kuandika majibu kwenye mapaja yenu nyie msiangaike kuomba mkopo Tuachien hii ngoma tucheze vipanga nyie mkasome diploma uko chuo Tuachien sisi
Ni hayo tu ukimaind ujue we zeeero

Wa kishua
 
Dogo ungekuwa wa kike ungekuta una mimba na watoto 7 kila mtoto na baba yake.....

nakutabiria kama unaenda chuo jiandae ku-disco...

wapo waliokuja humu kwa mbwembwe kama wewe mwisho wa siku wanaomba ushauri kwa ku-disco... mark my words
We ndo teacher wa chuo sio

Wa kishua
 
Back
Top Bottom