Wale mliofanya harusi ya gharama ndogo ninawaita hapa.

Tiger B

Senior Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
172
Reaction score
230
Huwa ninashangaa tu, watu wanavyoteseka kuchangisha michango ya harusi. Nowdays ukisema unaoa ni full stress. Bwana harusi stress, wazazi stress, marafiki stress, nk. Hii inatokana na mentality waliyo nayo watu wengi kwamba, harusi inahitaji mamilioni ili ifanikiwe. Yaani ukisema harusi watu wanawaza mchango tu. But to me I think different .

Ninapanga kufanya harusi ya gharama ndogo kadri itakavyowezekana. Hii inahusu kuwahusisha watu wa karibu tu ie Wanafamilia pande zote, marafiki wa karibu na viongozi wetu wa dini. Kwangu mimi harusi siyo kitu cha kushadadiiia kivile.

Ninaamini kuna watu walishafanya ninachokiwaza. Tukishare experience siyo vibaya. Ninaombeni fikra zenu hapa, hata kama ni kunipinga kwa hoja its okay. Kuna changamoto gani zinazoweza kunikumba mbeleni katika kutekeleza uamuzi wangu huu? Shukran in advance
 
sio ubahili ila inategemea unaoa wapi na uko dhehebu au dini gani.

Mimi nilioa katika kanisa la TAG au walokole. Sikuchangisha kabisa. Ila nilitangaza kuwa harusi yangu itafanyika siku fulani, jamaa zangu wa karibu niliwataarifu. Nilikadiria watakuja watu wangapi kula kwenye harusi yangu. Nilitayarisha pesa ya gunia la mchele na mboga ikiwa ni nyama yake na viungo. Kule hamna bia hivyo soda ilikuwa bei rahisi. na maji mengi tu.

Kabla ya hapo nilishona suti na shela la wife siku hizi yanakodishwa na pia nilitayarisha hela za gesti kwa ajili ya honeymoon. na pia inabidi kununua dress nyingine zuri kwa ajili ya wife akivua shela anavaa na viatu safi.
Nilioa kanisani na baada ya ibada watu wakatoka vijana wakageuza viti vikawa vinatazamana chakula kikaletwa kila mtu kashiba.

Ila nilichogundua watu wengi walipoona harusi inakaribia sana na hawaletewi kadi ya mchango waliona aibu kuja kwenye harusi bila kuchanga walichanga wenyewe nikakuta ndizi na kuku na misosi mingine ambayo haikuwepo kwenye bajeti yangu

Keki kama kwaida lazima iwepo.

Video kodisha tu camera inayotumia card baada ya harusi unacheki moja kwa moja kwenye laptop mpe rafiki yako anaejua kutumua ila iwe HD

Ina maana harusi yangu baada tu ya Ibada kuna kupiga picha baada tu ya picha sherehe ya harusi ikaanza na ikaisha kabla ya saa 1 usiku.

Ukitaka kufanya kitu kama hiki usitoe taarifa ya harusi mapema huko ni kuomba mchango. siku chache kabla ya Harusi wambie ndugu na jmaa zako unawaalika kwenye harusi na tafrija fupi basi, tatizo hapa ni wife inabidi akubali hii harusi ya namaa hii
 
teh wanawake wa sasa wa insta

Watakubali kweli
 
Kama umeingia kwenye akili yangu,tatizo linakuja upande wa dada zetu wanapenda sana sherehe.mm mwenyewe nimepanga kufunga harusi ya kawaida sana watu wakizidi sana 50 na sitamchangisha mtu yoyote
 
Huwa ninashangaa tu, watu wanavyoteseka kuchangisha michango ya harusi. Nowdays ukisema unaoa ni full stress. Bwana harusi stress, wazazi stress, marafiki stress, nk. Hii inatokana na mentality waliyo nayo watu wengi kwamba, harusi inahitaji mamilioni ili ifanikiwe. Yaani ukisema harusi watu wanawaza mchango tu. But to me I think different .

Ninapanga kufanya harusi ya gharama ndogo kadri itakavyowezekana. Hii inahusu kuwahusisha watu wa karibu tu ie Wanafamilia pande zote, marafiki wa karibu na viongozi wetu wa dini. Kwangu mimi harusi siyo kitu cha kushadadiiia kivile.

Ninaamini kuna watu walishafanya ninachokiwaza. Tukishare experience siyo vibaya. Ninaombeni fikra zenu hapa, hata kama ni kunipinga kwa hoja its okay. Kuna changamoto gani zinazoweza kunikumba mbeleni katika kutekeleza uamuzi wangu huu? Shukran in advance
Dini yako please
 
Ya 2m inatosha ;ila jamaa anaye funga harusi itabidi aamue chakula anapika nani hapo ndip pesa inaondoka, ni vizuri kama ana dada \zake na ma shangazi wawajibike watu wengine wanaiba sana mboga na kupeleka kwao na utakuta sahani hata 20 zinaliwa kabla ya harusi. Nilifahamu hili kweye harusi ya jamaa yangu. Yaani ukithibiti msosi na upikwaji wake na kuchagua eneo la kufanyia sherehe ya harusi ukichagua gharama nafuu unaoa kwa gharama ndogo sana
 
sio ubahili ila inategemea unaoa wapi na uko dhehebu au dini gani.

Mimi nilioa katika kanisa la TAG au walokole. Sikuchangisha kabisa. Ila nilitangaza kuwa harusi yangu itafanyika siku fulani, jamaa zangu wa karibu niliwataarifu. Nilikadiria watakuja watu wangapi kula kwenye harusi yangu. Nilitayarisha pesa ya gunia la mchele na mboga ikiwa ni nyama yake na viungo. Kule hamna bia hivyo soda ilikuwa bei rahisi. na maji mengi tu.

Kabla ya hapo nilishona suti na shela la wife siku hizi yanakodishwa na pia nilitayarisha hela za gesti kwa ajili ya honeymoon. na pia inabidi kununua dress nyingine zuri kwa ajili ya wife akivua shela anavaa na viatu safi.
Nilioa kanisani na baada ya ibada watu wakatoka vijana wakageuza viti vikawa vinatazamana chakula kikaletwa kila mtu kashiba.

Ila nilichogundua watu wengi walipoona harusi inakaribia sana na hawaletewi kadi ya mchango waliona aibu kuja kwenye harusi bila kuchanga walichanga wenyewe nikakuta ndizi na kuku na misosi mingine ambayo haikuwepo kwenye bajeti yangu

Keki kama kwaida lazima iwepo.

Video kodisha tu camera inayotumia card baada ya harusi unacheki moja kwa moja kwenye laptop mpe rafiki yako anaejua kutumua ila iwe HD

Ina maana harusi yangu baada tu ya Ibada kuna kupiga picha baada tu ya picha sherehe ya harusi ikaanza na ikaisha kabla ya saa 1 usiku.

Ukitaka kufanya kitu kama hiki usitoe taarifa ya harusi mapema huko ni kuomba mchango. siku chache kabla ya Harusi wambie ndugu na jmaa zako unawaalika kwenye harusi na tafrija fupi basi, tatizo hapa ni wife inabidi akubali hii harusi ya namaa hii
Wa hapa kwetu Nini?
 
Haupo mbali na mawazo yangu, yaani kwa ufupi sherehe kubwa sipendi.. Sipendi kabisaaa

Napnda harusi za kimya kimya kama wenzetu majuu huko anaoa harusi ina waalikwa 20 tuu

Mke naamini ataunga mkono maana siwezi chagua mke anayepemda kujiomesha kwa kufanya sherehe kubwa...

Mke wangu mtarajiwa uko wapi[emoji16][emoji16]
 
Kama kweli unaamua kufanya harusi ya gharama nafuu... Basi ikizidi sanaa m1.5 lakini unaweza fanya hata kwa laki 2.... Hasa sisi waislamu...

NB: Ndoa ni cheti tu na ndipo gharama ya lazima isiyoepukika ilipo
 
Back
Top Bottom