Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,637
- 40,852
Maisha yamekuwa na changamoto nyingi katika utafutaji, na kupelekea baadhi ya watu kutumia njia wanazo zijua wao ili waweze kufanikiwa.
Wapo walioingia maagano ya kumiliki vitu fulani ili maisha yao yaweze kuwa na mafanikio; mfano, wapo wale wanaovaa mapete makubwa, wengine kuna vitu wanaweka kwenye magari, majengo, nguo wanazovaa n.k, wengine wamechanwa miili yao na kupandikizwa vitu n.k
Na wengine baada ya muda fulani wanatakiwa wafanye ibada ili kudumisha yale maagano aliyopewa.
Sasa najiuliza; wale mlio kwenye mahusiano na watu wa namna hii, huwa mnayafurahia maisha?