Blog, unaweza itengeneza kwa platform kama blogger na WordPress kwa free kabisa. Kitu cha msingi uwe Na ujuzi wa kuweka template nzurii ambayo itwavutia wasomaji kulingana Na content unazopost.
Kuomba uunganishwe Na google AdSense kwanza hua hawahitaji blog yako iwe Na content za kiswahili hapo hawatakubali kabisa inatakiwa content za kiingereza. Na jaribu kuangalia wewe una uwezo zaid wa kutoa maada zipi kama ni za kielimu, teknolojia au maswala mengine mengi tuu yote yanaweza kukufanya ufike mbali kama utakua Na juhud katika kuweka content ambazo wasomaji watazielewa Na kunufaika nazo.
Kwa kawaida google AdSense wanasema mpaka blog yako ifikishe miezi sita ndo wanakuapprove lakini hiyo sio tatzo sana kuna wataalamu wanakupatia akaunti kwa pesa ukiulizia humu akaunti ya AdSense utaipata dakika chache tuu.