Hapa nahisi nililogwa. Mpaka nikapata na cheo Cha uenyekiti.....ila nilikuwa nawakimbiza mchakamchaka hawapoi. Sikuwa naangalia jinsia nikiamua kushika namba 1 nashika. Kuna kipindi ilikuwa ili wajue mtu wa kwanza amepata ngapi lzm waone kwanza Pepa yangu.
Na siku nikisema leo ngoja nisome watafumuka kila mtu na daftari wakasome maana sio kawaida kuniona nasoma soma nikiendelea kuandika humu Kuna mtu atanitaja.
Ila Sasa.....kwenye maisha sijui hata nimefanya nini maana life langu liko kawaida sanaaaa
Wengi waliofeli kabisaa ndo wenye utajiri mkubwa....