Ufafanuzi kidogo boss, kichwani RAM ndogo inachukua muda sana kuelewa code kama hiziMaisha ni kama mchezo wa mpira tu kama wewe ni mshambuliaji mbele hushindi goli rudi nyuma uwasaidie wenzako kama mabeki,ila kuwa makini itakapopatikana mpira wa kona wewe ushazoea nafasi ya ushambuliaji upige kichwa kuuondoa golini na siyo upige kichwa ujifunge.
Dar es laam mkuu inatuwekea ngumu kweli wengineMzee wangu ana umri sawa na uhuru wa Tanganyika, alikomaa na jiji toka ujana wake bila bila, miaka minne iliyopita akazama mkoa, kanyanyuka vibaya sana! Hapa najiandaa kumfuata, si kila mtu atatobolea Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii ni bahati nasibu unaweza kusema ningojee kidogo labda kesho nitatoka! Tahamaki sabini hii hapa.Usikubali kushindwa, babu yetu alitusua baada ya kupata wajukuu.
Alichoma sana mihogo mpaka akaja kuwa don pale soko la vyakula Mabibo.
Sasa hivi mjini ameacha nyumba sita, anakula pensheni tu.
Ufafanuzi kidogo boss, kichwani RAM ndogo inachukua muda sana kuelewa code kama hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok boss nimekupata sanaUfafanuzi ni kwamba kwenye maisha usiwe na Plan A au B peke yake unatakiwa uwe na Plan mpaka Z
Kwa kweli huu mji si rafiki wa maendeleo kwa baadhi ya watu hata upambane vipo!!Plan yako ni nzuri sana, hata mimi nipo huku Dar lkn nimejiwekea time frame nikifikisha miaka 45 narudi nyumbani mkoani. Nimeshaanza maandalizi ya kujenga kibanda huko mkoani ili nikirudi nifikie kwangu. Maisha kwenye big city ni magumu sana, living expenses zipo juu sana tofauti na mikoa mingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu Uzi ni kengele ya kuamsha watu. Ila kijijini sitarudi Kwa jina la Yesu. Nitapambana hapa hapa town hadi kieleweke.
Wasalaam waheshimiwa,
Kama heading inavyosomeka. Ni aibu sana, tena sana, kuwa kwenye nyumba ya kupanga hadi una wajukuu.
Ili kuepuka dhahma hii ni kujiandaa mapema kabla jua halijakuchwa, ili kuwahi kutengeneza mazingira kule kijijini tulipokimbia toka ujana. Inabidi kurudi bado ukiwa na nguvu.
Mimi nimekuja mjini miaka kumi na tano sasa, mpaka sasa bila bila, naongeza kumi mingine kama bado ndio nifunge virago.
Hapo mwanangu atakuwa na miaka kumi na tano.
Je, nitakuwa sahihi wakuu? Nipunguze ama niongeze? Kwa sasa nina 32 years.
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 60 amechelewa sana, alipaswa kurudi home around 40-45. Tunapokaa mjini tusijisahau sana, tutengeneze mazingira mazuri nyumbani ili mambo mjini yakiwa magumu tuweze kurudi homeAnko wangu katoka kijijini mimi sijazaliwa. Nimekuja Kukutana naye baada ya mimi kuja Dar.
Mpaka Sasa Ana Miaka 60 Bila Bila.
Anafanya Hustles za Hands to Mouth ( Ambazo Zilipaswa Kufanywa Na Vijana 20 - 35 ).
Kijijini Anaogopa Kurudi, Hana Pa Kuanzia
Kama una chanel wala usirudi. Lakini kama ni unga unga mwana nakutahadharisha mapema. Lakini vile wa ni mwanamke hamna shida.Huu Uzi ni kengele ya kuamsha watu. Ila kijijini sitarudi Kwa jina la Yesu. Nitapambana hapa hapa town hadi kieleweke.