Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 8,907
- 23,210
- Thread starter
- #21
Wapo wengi ndugu yangu wa namna hio. Hawana pakuanzia kule kijijini. Wengine hata kukanyaga huko hawakanyagi labda kuwe na msiba. Mtu ana kaa miaka kumi nyumbani hajaaenda anapambana tu mjini mwishowe mji inamkataa hana pa kwenda.Anko wangu katoka kijijini mimi sijazaliwa. Nimekuja Kukutana naye baada ya mimi kuja Dar.
Mpaka Sasa Ana Miaka 60 Bila Bila.
Anafanya Hustles za Hands to Mouth ( Ambazo Zilipaswa Kufanywa Na Vijana 20 - 35 ).
Kijijini Anaogopa Kurudi, Hana Pa Kuanzia
Sent using Jamii Forums mobile app