Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 8,674
- 22,384
Wasalaam waheshimiwa,
Kama heading inavyosomeka. Ni aibu sana, tena sana, kuwa kwenye nyumba ya kupanga hadi una wajukuu.
Ili kuepuka dhahma hii ni kujiandaa mapema kabla jua halijakuchwa, ili kuwahi kutengeneza mazingira kule kijijini tulipokimbia toka ujana. Inabidi kurudi bado ukiwa na nguvu.
Mimi nimekuja mjini miaka kumi na tano sasa, mpaka sasa bila bila, naongeza kumi mingine kama bado ndio nifunge virago.
Hapo mwanangu atakuwa na miaka kumi na tano.
Je, nitakuwa sahihi wakuu? Nipunguze ama niongeze? Kwa sasa nina 32 years.
Sent using Jamii Forums mobile app