Wale ambao tuliitwa interview Zimamoto!

Wale ambao tuliitwa interview Zimamoto!

shizo mkax

Senior Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
190
Reaction score
39
Habarini....
Kwa wale AMBAO tuliitwa kwenye interview ZIMAMOTO hebu tufunguane macho kidogo.
Je interview itafanyika kwa wakati mwingine au ndo imeshatoka hiyo?
 
Habarini....
Kwa wale AMBAO tuliitwa kwenye interview ZIMAMOTO hebu tufunguane macho kidogo.
Je interview itafanyika kwa wakati mwingine au ndo imeshatoka hiyo?
subirieni uhakiki upite na ajira zirejee may watawaita tena
 
Si ndio nyie mnapondeaga fire leo hii mnataka mfuate mini huku, zile hazina uhakika bz zilifutwa ngoja wakitangaza tena,,,,over
Ok umeeleweka. Siku hizi huwa hatubishani kwa sababu tunajua stress zimepanda
 
Nakumbuka vizuri sana tangazo lao lililohusu kufutwa kwa usaili uliotarajiwa kufanyika trh April 20,tena kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili wa ajila na mtukufu wako,jiongeze mkuu usibweteke
 
Back
Top Bottom