Singasinga JF-Expert Member Aug 27, 2011 2,649 3,162 Jan 2, 2021 Thread starter #101 gachacha said: Huu mwaka nimeona nianze na Neno la Mungu mambo ya uzinzi siku ya pili ndo nitaanza kuyawaza dah, Click to expand... Safi sana hii
gachacha said: Huu mwaka nimeona nianze na Neno la Mungu mambo ya uzinzi siku ya pili ndo nitaanza kuyawaza dah, Click to expand... Safi sana hii
Singasinga JF-Expert Member Aug 27, 2011 2,649 3,162 Jan 2, 2021 Thread starter #102 BAK said: Yuko busy anakata viuno akimaliza atakufungulia usiwe na hofu hakutaka usumbufu wakati yuko busy Click to expand... Unapiga panapouma
BAK said: Yuko busy anakata viuno akimaliza atakufungulia usiwe na hofu hakutaka usumbufu wakati yuko busy Click to expand... Unapiga panapouma
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Apr 20, 2016 12,469 17,581 Jan 2, 2021 #103 Daah nimetuma na nauli hajatokea Eti walokole niendelee kumvumilia tu?
Singasinga JF-Expert Member Aug 27, 2011 2,649 3,162 Jan 2, 2021 Thread starter #104 Kunguru wa Manzese said: Daah nimetuma na nauli hajatokea Eti walokole niendelee kumvumilia tu? Click to expand... Uliombwa au
Kunguru wa Manzese said: Daah nimetuma na nauli hajatokea Eti walokole niendelee kumvumilia tu? Click to expand... Uliombwa au
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Apr 20, 2016 12,469 17,581 Jan 2, 2021 #105 Singasinga said: Uliombwa au Click to expand... Nilipanga tukutane nae Kama hakua na nia ya kuja angesema
Singasinga said: Uliombwa au Click to expand... Nilipanga tukutane nae Kama hakua na nia ya kuja angesema
Half american JF-Expert Member Sep 21, 2018 26,144 68,462 Jan 2, 2021 #106 yna2 said: Ahsante shem na kwako pia Click to expand... Asante shem kumbe upo single 2021
Singasinga JF-Expert Member Aug 27, 2011 2,649 3,162 Jan 2, 2021 Thread starter #107 Kunguru wa Manzese said: Nilipanga tukutane nae Kama hakua na nia ya kuja angesema Click to expand... Kwa hiyo akakwambia angeweza kuja ila hana nauli? na mna mahusiano ya muda mrefu?
Kunguru wa Manzese said: Nilipanga tukutane nae Kama hakua na nia ya kuja angesema Click to expand... Kwa hiyo akakwambia angeweza kuja ila hana nauli? na mna mahusiano ya muda mrefu?
Jadda JF-Expert Member May 20, 2019 29,333 83,780 Jan 2, 2021 #108 Duuh haya sasa Wenye stress zenu za mapenzi
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Apr 20, 2016 12,469 17,581 Jan 2, 2021 #109 Singasinga said: Kwa hiyo akakwambia angeweza kuja ila hana nauli? na mna mahusiano ya muda mrefu? Click to expand... Ndio 3yrs
Singasinga said: Kwa hiyo akakwambia angeweza kuja ila hana nauli? na mna mahusiano ya muda mrefu? Click to expand... Ndio 3yrs
Singasinga JF-Expert Member Aug 27, 2011 2,649 3,162 Jan 2, 2021 Thread starter #110 Kunguru wa Manzese said: Ndio 3yrs Click to expand... Mhh na sababu zilizopelekea kutokuja ni nini na alikujulisha yeye mwenyewe au?
Kunguru wa Manzese said: Ndio 3yrs Click to expand... Mhh na sababu zilizopelekea kutokuja ni nini na alikujulisha yeye mwenyewe au?