Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,536
- 2,187
Kweli hakufai mi nilijikuta segerea bila kosaNasikia ni kubaya, na hakufai kwenda, mm sijawai kwenda Lock up wala jela. Ila siku moja nilienda kumwona mshikaji selo, harufu niliyoikuta kule dah! Mpaka leo napaogopa hata kwenda kuona mtuumiwa!
Je tufanyeje ili yasitukute maana nasisikia si kila aliye jela ana makosa, wengine wanasingiziwa kesi tu.
Uwanja upo wazi, tupeane maujanja ili hata ukishikwa na polisi ufanye nini ili usiingie hata selo.
We si ungeita waliowahi kwenda jela ndo wenye experience za kutuelezaNasikia ni kubaya, na hakufai kwenda, mm sijawai kwenda Lock up wala jela. Ila siku moja nilienda kumwona mshikaji selo, harufu niliyoikuta kule dah! Mpaka leo napaogopa hata kwenda kuona mtuumiwa!
Je tufanyeje ili yasitukute maana nasisikia si kila aliye jela ana makosa, wengine wanasingiziwa kesi tu.
Uwanja upo wazi, tupeane maujanja ili hata ukishikwa na polisi ufanye nini ili usiingie hata selo.
Nipo hapa mkuu
Hatari sana aiseeWanaume lazima wafike selo, ila jela sio lazima sana.
Pia kufika pande hizo hautabiriki.
Refer kwa wafuatao;
Manji
Malinzi
Rugemarila
Harbinger Seth
Adam Malima
Kaburu
Aveva
Ney wa mitego
Lau Masha
Masamaki wa TRA
Godbless Lema
Sheikh Ponda
Salma Kikwete (lock up ya Ikulu)
Na wengine wengi tu wenye pesa zao na mamlaka.
unataka mzungumze nini sasa??
nimelala hadi osterbay
lock up sio kuzuri ila mtoto wa kiume usipaogope
We si ungeita waliowahi kwenda jela ndo wenye experience za kutueleza
Kweli hakufai mi nilijikuta segerea bila kosa
Nliwahi kulala selo cku tatu, katka life langu ckuwahi kuhis ka kna siku ntaingia, nlijihic kama npo usngizin NA nkawa namuomba Mungu yote ninayoyaona iwe tu ni ndoto, hivo aniamshe kwenye huo ucngiz. Nlikua kibonge BT nlitoka nmepungua sana, kulala mapema kuamka mapema. Yan hadi Leo kna tyme nkilala huwa naota nakamatwa NA police.Nasikia ni kubaya, na hakufai kwenda, mm sijawai kwenda Lock up wala jela. Ila siku moja nilienda kumwona mshikaji selo, harufu niliyoikuta kule dah! Mpaka leo napaogopa hata kwenda kuona mtuumiwa!