Watu mnataka watu tuvunjike mbavu.Fanya kazi kijana upate riziki ya kulisha familia yako. Kuokoteza okoteza vitu mitaani na kuvileta humu kama hoja, haitasaidia ww kuendeleza maisha yako. Mbeleni mtakuja kuulizwa mliutumiaje ujana wenu na jibu lake itakuwa "niliutumia ujana wng kushinda mitandaoni kuandika vitu visivyo na maana just kuwafurahisha watu fulan". Kukimbia shule isiwe sabab ya ww kukosa maarifa akilini. So sad!
Kwa kiswahili chako kibovu hicho unadhani Kuna mtu atatishika? Walaka ni Nini?
NIT PICKER at work-nafurahi umeelewa na kujitambua kwamba wewe ni msukule wa bwana yuleKwa kiswahili chako kibovu hicho unadhani Kuna mtu atatishika? Walaka ni Nini?
Kwa taarifa yako na mataga wenzako, huyo unayembatiza kuwa " bwana yule" ni taa na Nuru ya ukombozi wa wale mliowabatiza na kuwaita "wanyonge" huku mkichukua Kodi zao kujineemesha!
Angalau alisaidia taarifa ficho kuwafikia wengine sio ninyi na musiba wenu kutwa mnamsifia mwendazake na kuwatukana wasio na hatia! Rudi class ukajifunze kutofautisha "l" na "r".
Uzuri ni kuwa wenye ubongo mithili ya biscuit nawadharau Sana! Ungeshukuru kwa darasa ulilopata Basi eeh! NIT PICKER ni dawa mpya ya nimonia? Lumumba kumenuna eeh! Na hivi bando zimeganda angani, huna nyimbo utaacha kuiimba!NIT PICKER at work-nafurahi umeelewa na kujitambua kwamba wewe ni msukule wa bwana yule
akili zenyewe zero, andika vitu vyako, wewe endekeza ujinga ujinga tu
Hoja mjarabu kbsFanya kazi kijana upate riziki ya kulisha familia yako. Kuokoteza okoteza vitu mitaani na kuvileta humu kama hoja, haitasaidia ww kuendeleza maisha yako. Mbeleni mtakuja kuulizwa mliutumiaje ujana wenu na jibu lake itakuwa "niliutumia ujana wng kushinda mitandaoni kuandika vitu visivyo na maana just kuwafurahisha watu fulan". Kukimbia shule isiwe sabab ya ww kukosa maarifa akilini. So sad!
Msukule wa bwana yuleFanya kazi kijana upate riziki ya kulisha familia yako. Kuokoteza okoteza vitu mitaani na kuvileta humu kama hoja, haitasaidia ww kuendeleza maisha yako. Mbeleni mtakuja kuulizwa mliutumiaje ujana wenu na jibu lake itakuwa "niliutumia ujana wng kushinda mitandaoni kuandika vitu visivyo na maana just kuwafurahisha watu fulan". Kukimbia shule isiwe sabab ya ww kukosa maarifa akilini. So sad!
Hahahahah...nimefurahi sanaFanya kazi kijana upate riziki ya kulisha familia yako. Kuokoteza okoteza vitu mitaani na kuvileta humu kama hoja, haitasaidia ww kuendeleza maisha yako. Mbeleni mtakuja kuulizwa mliutumiaje ujana wenu na jibu lake itakuwa "niliutumia ujana wng kushinda mitandaoni kuandika vitu visivyo na maana just kuwafurahisha watu fulan". Kukimbia shule isiwe sabab ya ww kukosa maarifa akilini. So sad!
Hahahaha.. huyu kijana kakosa hoja, sasa akaona ujanja ni kuja na virojaHahahahah...nimefurahi sana
Ngoja nitaongea na shemeji yako akupe kazi ya kuangalia watoto wa dada yako hapo nyumban, maana ni kama unakula ugali wa bure tu afu unaingia mitandaoni kuandika ushuz.iMsukule wa bwana yule
Muumini wa bwana yule utakuwa unapoteza mda wako huko wala sikoNgoja nitaongea na shemeji yako akupe kazi ya kuangalia watoto wa dada yako hapo nyumban, maana ni kama unakula ugali wa bure tu afu unaingia mitandaoni kuandika ushuz.i