Mosi: Nkamangi inaelekea hata "Ukristo" haujui vizuri. Na je, "Amri 10 za Mungu" mbona alipewa Nabii Musa lakini Wakristo ndio mme-hijack as if it was Jesus who was given the Commandments??
Pili: Tuachane masuala ya dini na tujadili mada yangu. Mimi sikuwataja Wakristo ila nimewahatarisha "WALA KITI MOTO" - wawe wachina, wahindi, warusi ama waafrika bila kujali dini zao. Swali la kujiuliza ni "how serious is the swine flu or what steps should we Tanzanians take in the event it comes here?"
Over to U all .......
Kumezuka ugonjwa wa kutisha huko Mexico na pia waliokwenda kutembea wanafunzi (22)na walimu (3)kutoka (NewZealand) wote wameambukizwa na wapo chini ya uangalizi wa serikali ,na Nchi mbalimbali zimeanza kuchukua hatua ya halaka sana ,wanasema ni ugonjwa hatari ulishawahi kuuwa watu milioni kama kumi hivi kwa mpigo.
World Health Organization is calling "a public health emergency of international concern."
The 25 students and teachers at Auckland's Rangitoto College returned to New Zealand via Los Angeles on Saturday.
Fourteen have shown flu-like symptoms, with four "more unwell than others," said Dr. Julia Peters, clinical director of Auckland Regional Public Health Service.
Health Minister Tony Ryall said 10 students tested positive for influenza A. The specimens will be sent to WHO to determine whether it is H1N1 swine influenza. H1N1 influenza is a subset of influenza A.
The WHO results are expected back by midweek. The group remains quarantined at home.
"It's certainly has not been confirmed that they have swine flu," said Dr. Craig Thoinley, medical officer of health in influenza. "We already have provisional information that some of the group have influenza A. We won't know if they have the type of influenza A that is swine flu."
According to the most recent reports, the number of confirmed swine flu cases in the United States stands at 11.
They include nine confirmed cases at or near the Mexican border in Texas and California, and an apparent outbreak at a private school in New York City.
All the patients have recovered or are expected to.
In Mexico, health officials said 81 deaths there were "likely linked" to the swine flu.
U.S. health officials said Friday that some cases of the virus matched samples of the deadly Mexican virus.
In response, South Korea said it will test airline passengers arriving from the United States. Japan will convene a Cabinet meeting Monday to come up with measures to block the entry of the virus into the country
Kitimoto ila usije ukafananisha na Nguluwe nchanga aka Panya 😀Nguluwe ndio nini?
Kitimoto ila usije ukafananisha na Nguluwe nchanga aka Panya 😀
Kaisome vizuri hiyo habari ili uone kama hakuna mambo ya kulakula,maana ukigusa ukishika ukichunga ukipiga chafya,na unapokula na unapomnyonga na kuwakatia watu sehemu zao sidhani kama wanavaa gloves na unaambiwa ukiipika hadi kwenye temperature hio,sasa unapoamua kufanya Sasa unapoamua kufanya karamu ya nyama choma ujue nyama choma huwa inaunguzwa unguzwa tu kama imepigwa welding sehemu zingine zimeungua zingine zinadondoka damu ,hivyo akili kichwani mwako.Can people catch swine flu from eating pork?
No. Swine influenza viruses are not transmitted by food. You can not get swine influenza from eating pork or pork products. Eating properly handled and cooked pork and pork products is safe. Cooking pork to an internal temperature of 160°F kills the swine flu virus as it does other bacteria and viruses.
Read more: CDC - Influenza (Flu) | Key Facts about Swine Influenza (Swine Flu)
Hata bible kumbe imekataza kula Nguruwe !
Kaisome vizuri hiyo habari ili uone kama hakuna mambo ya kulakula,maana ukigusa ukishika ukichunga ukipiga chafya,na unapokula na unapomnyonga na kuwakatia watu sehemu zao sidhani kama wanavaa gloves na unaambiwa ukiipika hadi kwenye temperature hio,sasa unapoamua kufanya Sasa unapoamua kufanya karamu ya nyama choma ujue nyama choma huwa inaunguzwa unguzwa tu kama imepigwa welding sehemu zingine zimeungua zingine zinadondoka damu ,hivyo akili kichwani mwako.
Sasa kwa nini ikaitwa Swine flu na vipi kuhusu wale kuku waliokuwa wakiteketezwa ,take care.
There is no vaccine for it. It started Mexico now it is New Zea land, Spain, and U.S.
Hata bible kumbe imekataza kula Nguruwe !
mwiba unakula kitimoto?Hata bible kumbe imekataza kula Nguruwe !