Walahi hata mm ningetumia zaidi ya masaa 30

Walahi hata mm ningetumia zaidi ya masaa 30

Vijana kataeni kutawaliwa na "roho ya uzinzi"

"AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA"!
Uzinzi/Uasherati ndio dhambi ambayo ibilisi amewadaka nayo wengi; kwa hakika wengi wameangamia/wataangamia kwa dhambi hii. Ndugu, omba msaada wa kuweza kushinda tamaa zako za mwili, vinginevyo ni majuto ya milele. Shetani amekuwa akiwatumia vema hawa viumbe (wanawake) katika kufanya maangamizi kupitia zinaa. watch out!!!!

"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake". MITHALI 6:32.

"Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe" 1KOR 6:18
 
Back
Top Bottom