Wala wenye matatizo ya drivers kwenye pc

Shaffin Simbamwene

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2008
Posts
2,156
Reaction score
1,539
WAKUU,
wALE WADAU WANAOSUMBULIWA NA KUKOSEKANA DRIVERS F'LANI KWENYE MADUDE YAO WAJARIBU KUSCAN,KUDOWNLOAD NA KUINSTALL DRIVERS ZOTE MUHIMU KWA PC ZAO KUPITIA SOFTWARE HII AMBAYO TAYARI IPO CRACKED
 
Shukrani sana! Nilikuwa nahitaji sana hii kitu.
 
Mi ndiyo nipo kwa pc soon nitaleta feedback hapa!
 
Hiii kitu imenitisha sana na nilikuwa naletewa onyo mara kwa mara kuonyesha ni Malware wakati inainstall!
 
duh hizo sio nzuri na baada ya muda zitasababisha computer ziwe nzito zcha muhimu tafuta kitu kinaitwa driver packs kama ni toshiba sattelite andika driver park for toshiba.... mm.ninayo universal driver park ningeupload sema ni zaid ya 2 gb hakuna.computer inayoigomea
 
hata hivyo hii program nahisi ni lazima uwe na net maana kwa kuwa na collections ya drivers zote kwenye ka file ka 12mb kweli?? mi nijuavyo program unayoweza kuinstall drivers bila kutumia internet ni driver packs tu na ndo ninayotumia sana..tena hata huitaji kuinstall program nzima ni kama cd tu ukiweka inasearch missing drivers yenyewe na kukuuliza kama unataka kuinstall..yenyewe ni kubwa zaid ya 2GB kama alivyosema mdau hapo juu...
 
yap lazima iwepo net ya kudonload drivers husika!!!
Mods check kama kweli ni virus/malware futa uzi
 
hii kitu nahisi sio clean itakuwa na malware tumieni kwa makini sana wakuu ona hii....

malware.PNG
 
duh hizo sio nzuri na baada ya muda zitasababisha computer ziwe nzito zcha muhimu tafuta kitu kinaitwa driver packs kama ni toshiba sattelite andika driver park for toshiba.... mm.ninayo universal driver park ningeupload sema ni zaid ya 2 gb hakuna.computer inayoigomea
mkuu unapatikana dar? ili nikutafute nahitaji sana hiyo
 
hata hivyo hii program nahisi ni lazima uwe na net maana kwa kuwa na collections ya drivers zote kwenye ka file ka 12mb kweli?? mi nijuavyo program unayoweza kuinstall drivers bila kutumia internet ni driver packs tu na ndo ninayotumia sana..tena hata huitaji kuinstall program nzima ni kama cd tu ukiweka inasearch missing drivers yenyewe na kukuuliza kama unataka kuinstall..yenyewe ni kubwa zaid ya 2GB kama alivyosema mdau hapo juu...

Nami ndiyo naijua hiyo.
 
HATAR! HATAR! HATAR!!!!!!!!!!!!
Jaman! Mcjarbu kuDOWNLOAD ina virus wanaoharbu na kuifanya Registry kuwa kuendesha Pc slow,
kama utahtaji driver zozote kwa ajili ya computer yoyote
mi nnayo latest vision ya 'DrivePack Solution' ina ukubwa wa 3.2GB
n noma hakuna Pc inayo igomea hlf iko clean maana nmeidownload ya kununua then nka "CRACK MANUALY"
uzuri wa kuCRACK manualy n kwamba hakuna mavirus hlf software haikamatwi ukiwa online.
 
Back
Top Bottom