sio lazima ziwe kwenye cd mkuu...unaweza kudownload net kama una uhakika wa net yako kwa zaidi ya 3gb..free tu ila kama vipi cd zake bila shaka zipo madukani!!izo cd za drivers zinauzwa wapi wakuu?
Mkuu nimeziona na nashukuru ila zaidi ni za HUAWEI na mm natafuta zile zaWAKUU,
wALE WADAU WANAOSUMBULIWA NA KUKOSEKANA DRIVERS F'LANI KWENYE MADUDE YAO WAJARIBU KUSCAN,KUDOWNLOAD NA KUINSTALL DRIVERS ZOTE MUHIMU KWA PC ZAO KUPITIA SOFTWARE HII AMBAYO TAYARI IPO CRACKED
ingia kat.ph utafute hizo software kaka utapata full (life time)Mkuu nimeziona na nashukuru ila zaidi ni za HUAWEI na mm natafuta zile za
IDM ...............
E.M. Toatal Video Converter..............
Nero.................
Avast...............
hizo huwa ni ki-Download natakiwa nilipie baada ya mwezi