kaka nikisema kutochaji namaanisha sisi, wateja , mimi wewe yule hatutochaji simu bali yenyewe yani simu itajichaji.
hizi simu zinaitwa SELF CHARGING PHONE yani wewe binadamu hufanyi effort yoyote kuchaji simu hutumii solar, hutumii generator la petroli, hutumii umeme wa maji wala chochote bali simu yenyewe ndio inajua itapata wapi nguvu ya kujaza betry yake. hizi ni baadhi ya njia zilizogunduliwa ninazozijua.
1. kwa kutumia mnara wa simu
hapa mnara utatuma chaji kwenye simu ilishazungumziwa hapa.