Kuna nyngne, unasugua battery kwenye shuka... hiyo nishawah kufanya na cm ikawaka tena, full charge
Umeme ulikatika, na mm ninashida na cm ambayo wakat huo haina kabisa charge.... Basi nikatoa battery, nikakumbuka Physics, Pale kwenye Friction Force.... hvyo nikawa nasugua battery kule kwenye sehemu za kuwekea kwa muda wa dk 5 hv... kisha nikarudisha kwenye cm.. ikawaka tena full charge... umenipata..?mkuuu hembu funguka vizuri naona kama unakitu lakini umekatiza mbio sana.
hembu rudi taratibu kwa mwendo wa kinyonga .
Umeme ulikatika, na mm ninashida na cm ambayo wakat huo haina kabisa charge.... Basi nikatoa battery, nikakumbuka Physics, Pale kwenye Friction Force.... hvyo nikawa nasugua battery kule kwenye sehemu za kuwekea kwa muda wa dk 5 hv... kisha nikarudisha kwenye cm.. ikawaka tena full charge... umenipata..?
Mkuu fanya jaribio kisha uje na majibu, otherwise stay kimya.
Sayansi siyo hadithi, ni vitendo!
utachanganya na zako lakini jibu hutalijua
Sayansi pia inataka logic, it doesn't come from nowhere
We mtu akikwambia ukinya mavi uyafunge kwenye kiroba baada ya wiki yatageuka kuwa Teno phantom A+ utafanya majaribio kwakuwa sayansi ni vitendo?.........logic kwanza
Changanya na zakwako
nokia sasa hivi wamezindua kifaa kinachochaji simu kwa mitikisiko. mfano upo club au eneo lolote unacheza mziki au kunatingishika unakifunga kwenye mwili halafu unakiconect na simu kinachaji. bado kipo stage za awali kwani kinachaji kidogo dogo sana ila research zinaendelea.
Nokia kinetic phone charging made real: dancing for power - SlashGear
tunaelekea age za kutochaji simu sasa