Wala haoni shida anabarizi kwa raha zake

Wala haoni shida anabarizi kwa raha zake

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,165
Reaction score
831,899
1411824021301.jpg
 
Mkuu kuna kipindi inabidi ukubali matokeo, sababu ni hali halisi.

Ukilazimisha sana unaweza ukawa mgonjwa wa akili ukizingatia kuna familia inakuangalia wewe
 
Halafu hata chai anakunywaga hapo hapo anaona sawa kabisa!Hivi mtu ukiwa
maskini na mishipa ya ubongo unafumuka au vipi jamani?

Uchafu ni tabia kuishi mazingira machafu ni kujitakia
 
tabia ya kumpiga picha mjomba wangu sipendi
MO11 umeacha nicheke pekeyangu picha ile ya last week ilikuwa wewe hii mjombaako hahaaahaaaa
 
Last edited by a moderator:
MO11 umeacha nicheke pekeyangu picha ile ya last week ilikuwa wewe hii mjombaako hahaaahaaaa

tatizo unapita sana mitaa ya kwetu ndio maan hapo umechelewa kidogo na mimi nilikuwepo ila niliondoka siku nyingine uwahi
 
Last edited by a moderator:
tatizo unapita sana mitaa ya kwetu ndio maan hapo umechelewa kidogo na mimi nilikuwepo ila niliondoka siku nyingine uwahi

Hahahaaaa kuna siku tutakutana kama sio small garden basi itakuwa ulaya ulaya
 
Back
Top Bottom