englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Wa huku kwetu waliajiriwaga kwa kigezo cha umbo nguvu na tabia. Wenzetu huko ni Elimu ndio imewaweka hapo. Ndio maana likitokea tukio dogo tu nguvu inayotumika haina tofauti na ile iliyotumika kumwondoa Nduli Idd Amin Dada.