VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Na alikuwepo wakati wa uzinduzi wa jina hili anacheka tu kama kawaida yake.Hivi hawa wanatupiga changa la macho au Ni kwamba sisi wajinga hatuoni au wanalofanya ni sawa...??
Ni kwamba hawa watu wanatumia kipengele cha kampuni mpya kupewa Miaka Mitano ya Kutokulipa Kodi sasa wao wanachofanya ni kuuza kampuni kila baada ya Five Years Hivi wanasheria Humu Jamvini ni Vipi tunaweza wabana hawa mafisadi
yeye hajui ni nini kinaendelea huku duniani. Namkumbuka mwalimu wangu wa sayansi kimu, tulikuwa tunasema hivi huyu anajua zaidi ya ugali, samaki, maziwa na mayai?Na alikuwepo wakati wa uzinduzi wa jina hili anacheka tu kama kawaida yake.
Sidhani kwamba kuna ukwepaji wa kodi wowote hapa. Waliobadirika hapa ni shareholders na jina la biashara na hii haimanishi mabadiriko katika mikataba ya awali.
Lazima tukubali kuwa watu wote matajiri kwenye corporate world waliuza hisa zao baada ya kuyaanzisha makampuni yakafanikiwa, ni wengi mfano Bill Gates, Warren Buffet, etc,
Sidhani kwamba kuna ukwepaji wa kodi wowote hapa. Waliobadirika hapa ni shareholders na jina la biashara na hii haimanishi mabadiriko katika mikataba ya awali.
,
Hivi hawa wanatupiga changa la macho au Ni kwamba sisi wajinga hatuoni au wanalofanya ni sawa...??
Ni kwamba hawa watu wanatumia kipengele cha kampuni mpya kupewa Miaka Mitano ya Kutokulipa Kodi sasa wao wanachofanya ni kuuza kampuni kila baada ya Five Years Hivi wanasheria Humu Jamvini ni Vipi tunaweza wabana hawa mafisadi
jamani tusiwe tunakurupuka kusema vitu ambavyo hata hatuna uhakika navyo jamani,tax holiday ipo ndio,ila zain africa ima change jina kila sehemu saiv nipo sierra leone zain imekua airtel tangu juzi,so si kwamba imebadilika tanzania tu,what happend ni kwamba wahindi wa airtel wameinunua zain toka kwa waarabu,so si kwamba imebadilika tz peke yake kwajili ya tax holiday
Mie nashindwa kuwaelewa watu wa hapa JF! kwani airtel wamenunua zain Tanzania tu?
Wajumbe kuhusu tax paying; data hizi hapa….
Between July 2007 and June this year, mobile phone firms in the large taxpayers' category -- among them Vodacom Tanzania, Tigo, Zain and Zantel -- had paid excise duty to the government amounting to Tsh40.2 billion ($36.2 million) whereas the TRA target was to collect Tsh39.2 billion ($37.3 million), a performance of 102 per cent.
Kwa hiyo jamaa inaonesha kodi huwa wanalipa
From; Cellphone Firms Under Scrutiny Over Tax Planning in Tanzania | balancingact-africa.com