Wakwepa Kulipa Kodi Wakubwa(Celtel; Zain; na Sasa Airtel)

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,194
1,364
Hivi hawa wanatupiga changa la macho au Ni kwamba sisi wajinga hatuoni au wanalofanya ni sawa...??

Ni kwamba hawa watu wanatumia kipengele cha kampuni mpya kupewa Miaka Mitano ya Kutokulipa Kodi sasa wao wanachofanya ni kuuza kampuni kila baada ya Five Years Hivi wanasheria Humu Jamvini ni Vipi tunaweza wabana hawa mafisadi
 
Hata Mkwere hajui hili. kazi yake kusema kuna mafanikio mengi sana kama kuleta kocha wa netball!
 
Nina hasira sana kufanywa kama zuzu..... Tunafurahia ohh Zain gharama nafuu...... wakati wanacost millions of cash Arrghhhh
 
Hivi hawa wanatupiga changa la macho au Ni kwamba sisi wajinga hatuoni au wanalofanya ni sawa...??

Ni kwamba hawa watu wanatumia kipengele cha kampuni mpya kupewa Miaka Mitano ya Kutokulipa Kodi sasa wao wanachofanya ni kuuza kampuni kila baada ya Five Years Hivi wanasheria Humu Jamvini ni Vipi tunaweza wabana hawa mafisadi
Na alikuwepo wakati wa uzinduzi wa jina hili anacheka tu kama kawaida yake.
 
yeye hajui ni nini kinaendelea huku duniani. Namkumbuka mwalimu wangu wa sayansi kimu, tulikuwa tunasema hivi huyu anajua zaidi ya ugali, samaki, maziwa na mayai?
 
Sidhani kwamba kuna ukwepaji wa kodi wowote hapa. Waliobadirika hapa ni shareholders na jina la biashara na hii haimanishi mabadiriko katika mikataba ya awali.

Lazima tukubali kuwa watu wote matajiri kwenye corporate world waliuza hisa zao baada ya kuyaanzisha makampuni yakafanikiwa, ni wengi mfano Bill Gates, Warren Buffet, etc,
 
Swali ni Kwamba Je wanalipa Kodi au Hawalipi That's all
 
Sidhani kwamba kuna ukwepaji wa kodi wowote hapa. Waliobadirika hapa ni shareholders na jina la biashara na hii haimanishi mabadiriko katika mikataba ya awali.

,

Hii ni kweli.
Kilichotokea ni shareholders wamebadilika na wamebadilisha jina la kampuni basi.

Kuhusu kama wanalipa kodi au hawalipi, hilo wanaweza kutujuza waliopo TRA, au unaweza kutafuta kama wapo kwenye ile category ya large tax payers wa TZ.
 
jamani tusiwe tunakurupuka kusema vitu ambavyo hata hatuna uhakika navyo jamani,tax holiday ipo ndio,ila zain africa ima change jina kila sehemu saiv nipo sierra leone zain imekua airtel tangu juzi,so si kwamba imebadilika tanzania tu,what happend ni kwamba wahindi wa airtel wameinunua zain toka kwa waarabu,so si kwamba imebadilika tz peke yake kwajili ya tax holiday
 
Hivi hawa wanatupiga changa la macho au Ni kwamba sisi wajinga hatuoni au wanalofanya ni sawa...??

Ni kwamba hawa watu wanatumia kipengele cha kampuni mpya kupewa Miaka Mitano ya Kutokulipa Kodi sasa wao wanachofanya ni kuuza kampuni kila baada ya Five Years Hivi wanasheria Humu Jamvini ni Vipi tunaweza wabana hawa mafisadi

Kuna watu walitoa pesa kugharamia mabango ya Kikwete kwa ahadi ya kuruhusiwa kukwepa kodi.

Kalaghabaho!
 
jamani tusiwe tunakurupuka kusema vitu ambavyo hata hatuna uhakika navyo jamani,tax holiday ipo ndio,ila zain africa ima change jina kila sehemu saiv nipo sierra leone zain imekua airtel tangu juzi,so si kwamba imebadilika tanzania tu,what happend ni kwamba wahindi wa airtel wameinunua zain toka kwa waarabu,so si kwamba imebadilika tz peke yake kwajili ya tax holiday

Mie nashindwa kuwaelewa watu wa hapa JF! kwani airtel wamenunua zain Tanzania tu?
 
Jamani tusipende kukariri kuwa ukibadilisha jina basi unakwepa kodi, ili usilipe kodi kuna masharti ambayo lazima yatimie hacheni uvivu nendeni Tanzania Investment Center msome halafu mrudi kuja kujadili na kuona kama zain watafall kwenye category ya kusamehewa kodi

Sio kila jina likibadilika basi na kodi inakwepwa
 
Hii kampuni ya simu itakuwa ya mafisadi wa tanzania wana jf tuwe makini tuichunguze na mwenye taarifa nzuri za kampuni hii atujuze, wakwepa kodi wakubwa hawa, kiongozi naye ni kushangilia tu.
 
Jamani tusiconfuse mambo hapa kwa habari za uhakika nilizonazo ni kwamba zain haijawahi kulipa kodi..... Je kuna anayepinga hili
 
Wajumbe kuhusu tax paying; data hizi hapa….
Between July 2007 and June this year, mobile phone firms in the large taxpayers' category -- among them Vodacom Tanzania, Tigo, Zain and Zantel -- had paid excise duty to the government amounting to Tsh40.2 billion ($36.2 million) whereas the TRA target was to collect Tsh39.2 billion ($37.3 million), a performance of 102 per cent.
Kwa hiyo jamaa inaonesha kodi huwa wanalipa

From; Cellphone Firms Under Scrutiny Over Tax Planning in Tanzania | balancingact-africa.com
 
Please nijuze zaidi kwahiyo tax heaven ipo au haipo na kama ipo je inainvolve taz ya aina gani sababu hapa nimeona wamelipa excise duty
 
Hivi hawa wanatupiga changa la macho au Ni kwamba sisi wajinga hatuoni au wanalofanya ni sawa...??

Ni kwamba hawa watu wanatumia kipengele cha kampuni mpya kupewa Miaka Mitano ya Kutokulipa Kodi sasa wao wanachofanya ni kuuza kampuni kila baada ya Five Years Hivi wanasheria Humu Jamvini ni Vipi tunaweza wabana hawa mafisadi

Kama haujui ni bora ukauliza kwanza. Kampuni za simu hazipo kwenye makampuni yanasosamehewa kodi. Kwa tahari vocher ya simu unayoweka ili kupata credit inajumuisha na makato ya TRA
 
Back
Top Bottom