Sawa mkuu sijui kama inaweza kuwa sababu hiyo but familia yetu tupo wanaume sita ni mimi tu ndio nimmebaki na nywele but kama sababu ni kujichua vp tiba yake ni nini?? Au zitaota zenyewe bila dawa