Wakuu wapi naweza kuflash simu yangu ya BB

FredKavishe

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
1,090
Reaction score
322
Nimetumiwa simu kutoka us tatzo haisomi laini zetu hapa bongo msaada wenu wakuu wapi naweza kuiflash isome laini za tz
 
Nenda posta kwenye maduka ya sapna,wanatoa hiyo huduma
 
Itupie chooni then uflash itaenda tu!

yaani umetoa ushauri kama user name yako ilivyo. Huku cyo jukwaa la mapenz .
Umeingia choo cha ..........
 
mkuu mPM dr phone au dio watakuhelp kama upo dar lakini..
 
Cost inategemea na model,lakini ni around 25$,kwani inatatizo gani hasa
 
Nimetumiwa simu kutoka us tatzo haisomi laini zetu hapa bongo msaada wenu wakuu wapi naweza kuiflash isome laini za tz
mkuu nenda hapa www.freemyblackberry.com.
wana service mbili yakulipia unapata code ndani ya masaa 3 na ya free unapata code ndani ya masaa 24.
kama kaumombo kanapanda na mtundu kidogo ni rahisi sana kwa huduma ya masaa 24, unachotakiwa kufanya ni kufuata maelekezo ya namna unatakiwa kuprovide information za bb yako kwa kujaza fomu flani kisha jamaa watakutumia code ndani ya masaa 24.
ukitulia ni rahisi sana, nimeshatoa lock bb zaidi ya 10 kupitia hii site
 
Hiyo simu yako imelokiwa na kampuni gani?Maana sio kila kampuni unaweza ukatoa lock hata uwende sapna wanaweza wakashindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…