Wakuu waliokuwa wakivuma enzi hizo

Ntambaswala

JF-Expert Member
Dec 7, 2008
255
78
Hebu jikumbushe enzi hizo ukifungulia RTD kipindi cha majira ulikuwa huwezi kusikia majina ya watu wafuatao wakiwa wametoa amri au maagizo fulani kwa wananchi. Hawa wakuu walikuwa never miss kwenye taarifa za RTD:

  1. Samike wa Samike
  2. Salum Ngajurage
  3. Hussein Mashimba
  4. Peter Kangwa
  5. Col. Peter Madaha
  6. Pascal Mabiti
  7. Isidory Shirma
  8. Abbas Mchemba
  9. Mussa Nkhangaa
  10. Ditopile Mzuzuri
  11. Kiwanuka Ahmed
 
Mengi ya hayo majina wala si maarufu hata kidogo, labda kwako binafsi. Halafu syntax yako ni matata.
 
Mwal Julius Kambarage Nyerere
Daniel Arap Moi
Samora Marchel
Mobutu Seseseko Wazabanga Kuku
Idd Amin Dada
 
Agustino Mrema kipindi kile wizara ya mambo ya ndani kabda hajapakatwa na magamba
 
Back
Top Bottom