Wakuu wa wilaya waliotemwa...

Wakuu wa wilaya waliotemwa...

nayo hii imekuwa kidali poo. look for their names in other glob and web unatapa full list.
 
Dah Athuma ni Mdoe.. Amekuwa DC kwa muda mrefu sana! Tangu enzi ya Mkapa.. Alikuwa DC Ilala..
 
Betty changu - kasulu

Mkuu uwe makini na majina ya watu, anaitwa Betty Machangu. Inawezekana Mkuu wa Kaya kampunguzia kazi, maana nakumbuka aligombe Ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM.
 
pole zake huyu mzee, mana juzi juzi tu dereva wake almpiga mimba binti yake alyekuwa kidato cha 3,
Ni kweli huyu mwaka hatousahau mtoto kapewa mimba na dereva wake na ukuu wa wilaya umeyejuka...
 
Kuna wengine walipewa ukuu Mikoa ile mipya Pascal Mabiti na yule wa Iringa mjini
 
kha! Huu mwaka kwake utakua na kumbukumbu tosha kapata mjukuu na ukuu wa wilaya kapigwa chini
 
Back
Top Bottom