Wakuu wa Wilaya; Rais Magufuli usiwasahau vijana wafuatao

Ajol

Senior Member
Dec 22, 2015
140
75
Nguzo ya Taifa ni vijana. Vijana ndio Taifa la leo na wajenzi wa Taifa la kesho. Ni jambo la kumpongeza Rais Magufuli katika teuzi zake mbalimbali kaonyesha kuwaamini vijana. Hivyo kupitia Forum hii tunamuomba asiwasahau vijana wafuatao.

Ni vijana wasomi, wachapa kazi, hodari, na wazalendo kwa nchi yao.....

1. Humphrey Pole Pole
2. Salum Hapi
3. Herman Tutuki
4. Iddi Mkwama
5. Mtela Mwampamba
6. Kasera Peter
7. Kimeta Mpui
8. Saul Mwaisenyi
9. Julius Mungure
10. Patrick Stima
11. Emmanuel Fute
12. Kangwira Reuben
13. Emmanuel Ukashu
14. Shaka H Shaka
15. Angelo Shimbi
16. Mohamed Mpeme

NB:. Hawa ni vijana wasomi. Na kwa hakika watakusaidia katika utawala wako.... Ni vijana wenye uwezo, na wachapakazi hodari.... Nimefanya nao kazi katika taasisi mbalimbali, vyombo mbalimbali vya kimaamuzi na idara mbalimbali na kuona uwezo wao... Ni vijana wa kufikiriwa na kwa hakika watakusaidia sana katika kuwatumikia wananchi...

Nimeona nikufikie kwa njia hii.... Asante
 
Wewe ni yupi kati ya hao ?
 
Mbona hukumchagulia hao wengine, mwache kocha achague timu yake sababu anazostyle zake hao uliofanya nao kazi wanaweza kosa hiyo flexibility ili mwisho wa siku wananchi wanamshughulikia kocha hizi figisu utaharibu kazi. na kwakuwa ulishafanya nao kazi na kuona uwezo wao kwanini usiendelee nao huko huko tu.
 
Ni wajibu wa kila rais kumsaidia Rais ushauri. Ingawa hawi bounded kuchukua ushauri wako.... Haya ni mawazo chanya ya kumsaidia rais...

Rais atajua watu wote?.... Sio rahisi
 
Nguzo ya Taifa ni vijana. Vijana ndio Taifa la leo na wajenzi wa Taifa la kesho. Ni jambo la kumpongeza Rais Magufuli katika teuzi zake mbalimbali kaonyesha kuwaamini vijana. Hivyo kupitia Forum hii tunamuomba asiwasahau vijana wafuatao.

Ni vijana wasomi, wachapa kazi, hodari, na wazalendo kwa nchi yao.....

1. Humphrey Pole Pole
2. Salum Hapi
3. Herman Tutuki
4. Iddi Mkwama
5. Mtela Mwampamba
6. Kasera Peter
7. Kimeta Mpui
8. Saul Mwaisenyi
9. Julius Mungure
10. Patrick Stima
11. Emmanuel Fute
12. Kangwira Reuben
13. Emmanuel Ukashu
14. Shaka H Shaka
15. Angelo Shimbi
16. Mohamed Mpeme

NB:. Hawa ni vijana wasomi. Na kwa hakika watakusaidia katika utawala wako.... Ni vijana wenye uwezo, na wachapakazi hodari.... Nimefanya nao kazi katika taasisi mbalimbali, vyombo mbalimbali vya kimaamuzi na idara mbalimbali na kuona uwezo wao... Ni vijana wa kufikiriwa na kwa hakika watakusaidia sana katika kuwatumikia wananchi...

Nimeona nikufikie kwa njia hii.... Asante
Ningekuwa Rais hapo hata mmoja simchagui kwakuwa hawa wote ni wakwenye mitandao ya kijamii kwakuwa ni mamluki kabla ya Lowassa kukatwa walikuwa ni Team Lowassa hawa ni siwakukisaidia chama hawa ni wachumia tumbo tu.Wote ni ngewakata hata kuwapa ubalozi wa kijiji siwapi.
 
ni msikivu na kama anapitiaga huku au wasaidizi wake basi watakuwa wamekusikia mkuu!
 
MTOA POST ONDOA
POSSIBLE WEWE NI MMOJA WAO KATI YA ULIOWAANDIKA.
KIPAJI CHA KUONGEA MARA NYINGI SI CHA UTENDAJI....
KUMPATA MWONGEAJI NA MTENDAJI HUWA NI NGUMU SANA......
***NADHANI VIPO VYEO VYA KUFUTA,VIPO VYEO AMBAVYO KIUTENDAJI VINAGONGANA KINACHOBAKI NI KUTUNISHIANA MISULI TU./
cc/
serekali inayoitaji kubana matumizi kwa dhati.
 
Ningekuwa Rais hapo hata mmoja simchagui kwakuwa hawa wote ni wapumbavu wakwenye mitandao ya kijamii kwakuwa ni mamluki kabla ya Lowassa kukatwa walikuwa ni Team Lowassa hawa ni mbwa koko wakula majalalani na siwakukisaidia chama hawa ni wachumia tumbo tu.Wote ni ngewakata hata kuwapa ubalozi wa kijiji siwapi.
Hata hujui ulisemalo..... Hao ni vijana makini wa CCM na kama walikudanganya wako kwa Lowassa basi ujue walikuwa kazi maalum kama Apson Mwangonda...
 
Nguzo ya Taifa ni vijana. Vijana ndio Taifa la leo na wajenzi wa Taifa la kesho. Ni jambo la kumpongeza Rais Magufuli katika teuzi zake mbalimbali kaonyesha kuwaamini vijana. Hivyo kupitia Forum hii tunamuomba asiwasahau vijana wafuatao.

Ni vijana wasomi, wachapa kazi, hodari, na wazalendo kwa nchi yao.....

1. Humphrey Pole Pole
2. Salum Hapi
3. Herman Tutuki
4. Iddi Mkwama
5. Mtela Mwampamba
6. Kasera Peter
7. Kimeta Mpui
8. Saul Mwaisenyi
9. Julius Mungure
10. Patrick Stima
11. Emmanuel Fute
12. Kangwira Reuben
13. Emmanuel Ukashu
14. Shaka H Shaka
15. Angelo Shimbi
16. Mohamed Mpeme

NB:. Hawa ni vijana wasomi. Na kwa hakika watakusaidia katika utawala wako.... Ni vijana wenye uwezo, na wachapakazi hodari.... Nimefanya nao kazi katika taasisi mbalimbali, vyombo mbalimbali vya kimaamuzi na idara mbalimbali na kuona uwezo wao... Ni vijana wa kufikiriwa na kwa hakika watakusaidia sana katika kuwatumikia wananchi...

Nimeona nikufikie kwa njia hii.... Asante
Jumla mlikuwa 46 kwa mujibu wa Raisi mstaafu Kikwete hapa umeweka 16 tuu; wengine 30 wako wapi
 
Sio kila kijana ana sifa za kuwa Mkuu wa Wilaya.... Infact mimi nawaongelea hawa ambao najua uwezo wako, uhodari wao, uchapakazi wao na uzalendo wao...
 
Back
Top Bottom