Wakuu wa shule acheni usaliti. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu wa shule acheni usaliti.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by drmkumba, Aug 1, 2012.

 1. drmkumba

  drmkumba Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Imeripotiwa na TBC1 katika kipindi cha DIRA kwamba mkuu wa mkoa wa Ruvuma ameitisha mkutano na wakuu wa shule za msingi na sekondari ili kuwatuma wawashawishi walimu waliogoma warudi kazini.Baadhi ya wakuu wa shule walitoa maoni yao na kuonekana kuwashangaa walimu wenzao waliogoma! Eti wanagoma kwa lipi! Hivi hawa wakuu wa shule wanamaslai gani makubwa yanayowafanya washindwe kuwaunga mkono walimu wenzao? Je kama itatokea serikali kusikiliza kilio cha walimu wanaogoma na kuwapandishia mishahara walimu,kuwalipa posho ya mazingira magumu na maslai mengine wakuu wa shule watakuwa tayari kujiweka kando wasipokee nyongeza hizo za mishahara? Acheni usaliti unganeni na walimu wote kudai maslai yenu ili kada ya yenu iwe na heshma.
   
 2. A

  African teacher Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wengi hawajitambui kiongozi,ka ujuavyo kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani...'
   
 3. m

  markj JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  usaliti upi! wewe ulitaka wakiitwa na mkuu wao wasinde? au watu wa habari wakifika kwenye hayo mashule wapewe habari na walinzi? sijaona usaliti wa wakuu washule mana hapa ndo changamoto ya ukuu wa shule ilipo! mana nia kama daraj kati ta ya walimu wa shule usika na serikali ya eneo husika! sasa akiamua kukaa tu nyumbani! nani atawaconnect hawa watu ili suluhisho lipatikane na hatimaje hali ya elimu irejee katika hali nzuri! mawasiliano ni kitu muhimu sana mkuu!
   
 4. n

  nkisumuno JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  We mkuu wa shule nini? Wakuu wengi ni wale wenye mahusiano na wakubwa na walio wengi ni wale yes man hawajui kuague. Na ndo maana nchi inaenda hovyo kwani ili uwe kiongozi sifa mojawapo ni kutokuhoji chochote kwa aliyejuu yako hata kama ni maslahi yako. Hii ndiyo Tanzania
   
 5. m

  markj JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  na wewe ni mwalimu wa kawaida nini?maneno tu hayo, yajiwatokea ya kuwatokea wala hamna support yyt mnayowapa hao walimu zaidi mnaanza tena kuwasema vibaya tu kwenye jf humu! unafiki tu huo!
   
 6. drmkumba

  drmkumba Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mark ni vema kabla ya kutoa comment ukajiridhisha katika kuisoma na kuielewa threid.Ni wapi niliposema eti wakuu wa shule wasiende shuleni? Wao kama wakuu wanalakusema kutetea maslai ya wao wenyewe na kada nzima.Hivi inakuingia akilini mkuu wa shule anapoojiwa na mwandishi atoe maoni yake kuhusu mgomo unaoendelea yeye aseme eti anawashangaa walimu kwa nini wanagoma! Hopeless! Kwanini asishauri serikali wakae na wazungumze na walimu ili mgomo umalizike.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...