Wakuu wa mikoa na neno "Mkoa wangu"

Wakuu wa mikoa na neno "Mkoa wangu"

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,537
Reaction score
6,483
Hakuna neno linanikera kama hili, hivi mtu akiwa RC ni kwamba anaumiliki ule mkoa? Mkoa wote ni wa kwake? Au yeye ni kiongozi mojawapo tu miongoni mwa viongozi wengi, au ndo kusema ameshapewa mkoa sasa na mtu anapopewa kiwanja kina kuwa chake na yeye anakuwa amepewa mkoa.

Mkoa wangu, wa Mbeya, Mkoa wangu wa Dsm inakera, na ukute mtu mwenyewe kama mjini juzi tu hapa ametukuta afu anasema hadi sisi na familia zetu na nyumba zetu everything ni "wangu" wangu, wangu mkoa wangu ninaweza kukufukuza utoke kwenye mkoa wangu.
 
Alaf jamaa hajui hata maana ya dira.He's is synthesizing his fake intellectual capacity. Hiv kweli dira ni kununua ndege
sikuelewi, ndege na dira inaingiaje hapa sasa? nini kimetokea tena huko? binafsi I was just sharing kitu kinachonikera. dira na ndege unamwongelea nani? tujadili hoja, mtu kuita mkoa ni mkoa wangu as if ni mali yake na wote mlioko mle hamna say yeyote juu yake.
 
Anadandia mkoa ambao kaukanyaga ukubwani na kuuita mkoa wake, huku kijiji kilichomkuza anakikana.
 
Haya na mm nakwera lakini xjui cha kufanya bora nisimsikilize tu hayo mambo.....hivi founders wa hako ka msemo ka mkoa wangu ni nani vile?
 
Hio inaonyesha kiwango cha juu kabisa cha "UBINAFSI"


Mwl J. K. Nyerere tunayemchukulia kama kioo chetu na mfano wa kuigwa alikuwa anasema "kiongozi wetu, nchi yetu, ...yetu, chetu, wetu, ..." lakini viongozi wa kisiasa wa sasa wana kaulimbukeni fulani hivi
 
Back
Top Bottom