WAKUU USHAURI KONKI JAMANI.....

Sep 7, 2014
75
24
WAKUU NINA MDOGO WANGU KAPATA VYUO VINNE KWENYE SECOND ROUND KAMA IFUATAVYO
TUMAINI DSM------LAW
MoCU-----------------POLITICAL SCIENCE AND PUBLIC ADMINISTRATION
MUM------------------LAW WITH SHARIAH
SAUT-----------------MASS COMMUNICATION.



je? AENDE WAPI MAANA HANASHINDWA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI,,,,ushauri tafadhali
 
Nina wasiwasi ushauri unahitaji wewe, kuwa muwazi kijana usihofie kuumbuka.
....eti dogo anaomba ushaur,acha hizo.
 
nlijua una busara kumbe na wewe kubwa jinga
ungekaa kimya ingekuwa bora zaidi coz mimi ningetaka ushauri kwako ningekufata inbox. Naomba kama umekosa cha kushauri wenye busara waachie uwanja.......nilikuwa nakuheshimu sana nikiamini na wewe unahekima kumbe co kila aliye humu ni mjanja wengine ni mapunga.Swayn
 
Back
Top Bottom