sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,032
Lete nikusaidie mkuu unatakaje?
nsaidie formula mkuu,Lete nikusaidie mkuu unatakaje?
cheki kazi hii, mfano nataka ku filter comments zenye likes nyingi, nikizifilter replies sizioni yaniHakuna formula bro,
Table yako inatakiwa iwe na columns za kidato na jina
Mfano
Kidato. Jina
1. Amina
1. Asha
3. Asia
2. Juma
2. Ali
1. Hamis
Then unatumia pivot table mchezo umeisha...
Nimeshindwa ndio mana nmeweka faili mkuu, naomba unisaidie then uweke hilo file humuBro mbona rahisi sana na iko straight forward!, Kama unataka ku filter likes nyingi let's say laikes zaidi ya 5, you jut customize the filer kwenye filed ta likes iwe grater than 5 basi, table yote itakaua yenyr comments zenye likes zaidi ya 5...
Toa mchango acha porojo
niache porojo tena, nimetag jamaa mweye ujuzi wa iyo mambo, mimi ni kilazaToa mchango acha porojo
Mkuu huko kote nmejaribu, Naona file lako lina shida ile ile tu kama niliyoletaCheki hilo, liko filtered with greater than 30 comments, note nimetumia WPS Office ya simu, ukifungua kwenye MS Excel itaonyesha piaView attachment 1827637
Mdau, sidhani kama kuna formula ya filtration, ila ukiangalia file lako lako hapa kwa umakini, nadhani unachokitaka ni hikiMkuu huko kote nmejaribu, Naona file lako lina shida ile ile tu kama niliyoleta
View attachment 1827709
Mdau, sidhani kama kuna formula ya filtration
Mkuu, asante angalau umejitahidi , ilibidi niulize kwa wa hindi naona wamenipa formula na inafanya kazi freshHapo hapo kigezo ni replies, sasa si kila comments zenye likes nyingi zina replies, hivyo ukitaka kigezo cha likes unaweza kuongeza hiyo criteria kwenye likes, ili uone