Azimio la kazi
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 138
- 452
Mambo muhimu:Habari Wana Jf natumai wote ni wazima wa afya.
Wakuu siku ya jumatatu nilikwenda moja ya hospital apa mkoani ni ya binafsi (watu wengi wanaisifu), nilikuwa namumivu chini ya mbavu, baada ya kufanya Ultrasound majibu yakasema na nephritis yaani Figo ya kulia imevimba pamoja Nikakutwa sepsis , daktari akanipatia dawa Flucamox na Metamefac acid
Lakini kitu Cha ajabu siku ya Jana, ni kaenda hospital ya rufaa ya mkoa ku japo maumivu yalikuwa yamepunguwa daktari akashauri nifanye ultrasound Lakini kitu Cha ajabu hadi sasa nashidwa elewa majibu yametoka yanaonesha kuwa Sina Shida yoyote
Figo, appendix na upande wote wa kulia upo sawa Kabisa
Daktari akasema may be inaweza Kuwa na ulcers, Lakn utrasound ipo vizur kabisa.
Wakuu Yani sielewi kabisa, nawaza je hospital ya kwanza ya Private walifanya ujanja au hospital ya serikali ya mkoa walikosea kupima . Kwa kweli utofauti wa vipimo huu una nishangaza Sana.
Kwanza, pole sana Mkuu.Habari Wana Jf natumai wote ni wazima wa afya.

Kaka we ni jasusiKwanza, pole sana Mkuu.
Pili, majibu ya Ultrasound hutegemea sana ujuzi wa Mtaalam pamoja na ubora wa kifaa husika. Hivyo, mara kadhaa hutokea kutofautiana kati ya sehemu moja na nyingine. Wakati pia una nafasi ya kuamua.
Tatu, maelezo yako yana nafasi kubwa sana katika kung'amua na hata kumuelekeza daktari kutambua ni tatizo gani haswa linakusibu.
Baada ya kipimo cha Ultrasound, daktari alipaswa kuhusisha alichokiona na dalili ulizozionesha kabla ya kufikia tamati kuwa unaumwa ugonjwa huo. Kama maelezo yako yanashabihiana na dalili ulizotaja basi anahitimisha.
Nne, labda nikuulize wewe nini haswa kilikushawishi kwenda kuangalia tena hospital nyingine? Bila shaka kuna sababu ambayo huenda haikukuridhisha. Weka tuizingatie.
Tano, chanzo cha maumivu yako haswa ni kipi? Ulilala sehemu nzuri? Ulifanya mazoezi hivi karibuni? Kama hakuna baina ya tajwa hapo juu, basi sababu ya maumivu yako lazima yawepo.
Kama kwenye Uchunguzi wa hospital ya rufaa haikuonyesha basi kuna kila uwezekano ilishaanza kupotea. Sepsis ambayo siyo serious huanza kupotea hata ndani ya masaa 48.
Bila shaka taasisi unazozizungumzia ni Malolo Hosp na Kitete Referral.
Wale BRN ndio wapo maofisini kwa sasa.Habari Wana Jf natumai wote ni wazima wa afya.
Wakuu siku ya jumatatu nilikwenda moja ya hospital apa mkoani ni ya binafsi (watu wengi wanaisifu), nilikuwa namumivu chini ya mbavu, baada ya kufanya Ultrasound majibu yakasema na nephritis yaani Figo ya kulia imevimba pamoja Nikakutwa sepsis , daktari akanipatia dawa Flucamox na Metamefac acid
Lakini kitu Cha ajabu siku ya Jana, ni kaenda hospital ya rufaa ya mkoa ku japo maumivu yalikuwa yamepunguwa daktari akashauri nifanye ultrasound Lakini kitu Cha ajabu hadi sasa nashidwa elewa majibu yametoka yanaonesha kuwa Sina Shida yoyote
Figo, appendix na upande wote wa kulia upo sawa Kabisa
Daktari akasema may be inaweza Kuwa na ulcers, Lakn utrasound ipo vizur kabisa.
Wakuu Yani sielewi kabisa, nawaza je hospital ya kwanza ya Private walifanya ujanja au hospital ya serikali ya mkoa walikosea kupima . Kwa kweli utofauti wa vipimo huu una nishangaza Sana.
Pombe Sijawah tumia MkuuPole.
Ma doctors wetu ndo hao hao sometimes nao wana stress and more times there are there tu.
Usitumie sukari wala soda pia, ukiweza acha na pombe.
Utakuwa sawa.
Sasa mkuu septicemia inaweza sababisha nephritis? Na je kama sepsis ipo treated early nephritis inaweza return normal.Kwanza, pole sana Mkuu.