nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,379
- 3,152
Kikazi nimepata tuor makini sana, tafadhali wakuu ni maeneo gani muhimu ya kuzuru? mana kuna session 1 ya kupewa utawala binafsi nikaona niwacheki familia humu. Asante
Hongera yako, jitahidi kuandika vizuri kichwa cha habarikikazi nimepata tuor makini sana, tafadhali wakuu ni maeneo gani muhimu ya kuzuru? mana kuna session 1 ya kupewa utawala binafsi nikaona niwacheki familia humu. Asante
kikazi nimepata tuor makini sana, tafadhali wakuu ni maeneo gani muhimu ya kuzuru? mana kuna session 1 ya kupewa utawala binafsi nikaona niwacheki familia humu. Asante
Uko Mikumi mbugani au mjini?kikazi nimepata tuor makini sana, tafadhali wakuu ni maeneo gani muhimu ya kuzuru? mana kuna session 1 ya kupewa utawala binafsi nikaona niwacheki familia humu. Asante
wapi haijaeleweka?Hongera yako, jitahidi kuandika vizuri kichwa cha habari
mbugani ila nataka enda mjiniUko Mikumi mbugani au mjini?
point yangu ni kua nataka enda mikumi mjini nikiwa hapa mbugani nikajipumzisheHebu rudia tena kuandika tuelewe point yako..
Usiku huu mbugani utatembelea vipi Chief? Ni hatari kwa maisha yako na sidhani hata kama inaruhusiwa.mbugani ila nataka enda mjini
kwani hapa hakuna boda?Usiku huu mbugani utatembelea vipi Chief? Ni hatari kwa maisha yako na sidhani hata kama inaruhusiwa.
sina mpango wa zinaa boss wanguTafuta boda boda umlipe vizuri, atakupeleka chimbo kali; kwenye pori la pisi kali
We furaha yako ni kushangaa ngedere tu?sina mpango wa zinaa boss wangu
kuangalia tu mazingira asilia pamoja na watu nisiowajua na mitaa kadhaa kadhaaWe furaha yako ni kushangaa ngedere tu?
Mbugani ni salama zaidi kuliko mjini.mbugani ila nataka enda mjini
Mwanzo uliandika sahan instead ya samahani naona umeedit safiwapi haijaeleweka?
point yangu ni kua nataka enda mikumi mjini nikiwa hapa mbugani nikajipumzishe
Usiku huu mbugani utatembelea vipi Chief? Ni hatari kwa maisha yako na sidhani hata kama inaruhusiwa.