Salama wakuu? Nimeamua kuacha kazi mwezi huu wa agosti 2021.(naomba nisiziweke kapuni sababu za kuacha kazi) Ninazirudia ndoto zangu za mafanikio kupitia businesses. Nilishasajili business firm pale brela. Bado tra na kwingineko. Nataka kuzalisha chalks na other gypsum products km ile mikanda yake(urembo). Nilishapata mafunzo ya chalks production pale sido vingunguti dsm.
Kwa sasa Sina mtaji. Kuna kahela nakasubiria(around 300k),nataka nianze kuuza maji ya kandoro na mayai ya kuchemsha ili nipate hela ya kula wakati nalipambania hili la firm ya chalk production.
Nimeifuatilia hii business ya water nimeona faida yake na urahisi wa kuanza.
KARIBUNI KWA MAONI,USHAURI,MAWAZO.HUENDA MNA KINGINE KILICHO BORA ZAIDI YA HIVI VYANGU.
ALAMSIKI