Wakuu, ninakwenda kufanya ifuatavyo kwenye business

wa kihesa

Senior Member
Dec 19, 2018
188
181
Salama wakuu? Nimeamua kuacha kazi mwezi huu wa agosti 2021.(naomba nisiziweke kapuni sababu za kuacha kazi) Ninazirudia ndoto zangu za mafanikio kupitia businesses. Nilishasajili business firm pale brela. Bado tra na kwingineko. Nataka kuzalisha chalks na other gypsum products km ile mikanda yake(urembo). Nilishapata mafunzo ya chalks production pale sido vingunguti dsm.
Kwa sasa Sina mtaji. Kuna kahela nakasubiria(around 300k),nataka nianze kuuza maji ya kandoro na mayai ya kuchemsha ili nipate hela ya kula wakati nalipambania hili la firm ya chalk production.
Nimeifuatilia hii business ya water nimeona faida yake na urahisi wa kuanza.
KARIBUNI KWA MAONI,USHAURI,MAWAZO.HUENDA MNA KINGINE KILICHO BORA ZAIDI YA HIVI VYANGU.
ALAMSIKI
 
Usiache kazi kwanza.
kama mtaji unao tayari basi ajiri vijana wawili watatu huku ukiendelea kuangalia upepo wa biashara.

kitu kizito zaidi huwa ni soko la bidhaa, sio rahisi kupata soko ndio maana huwa biashara nyingi zinazoanza huwa zinakufa mapema.

market penetration inaweza kukulia hata mwaka ndio utoboe.

Je, uko tayari ? Biashara mpya huwa na tabia ya kula kila kitu halafu ndio inainuka. Be careful
 
Kwanini uache kazi na uuze maji ya kandoro na mayai? Kazi unalipwa sh ngap na maji ya kandoro unatarajia kuapata kiasi gani na kwa muda gani??

Usiache kazi mapaka pale utakapo luwa kamili kustart hiyo biashara yako

kwa aslimia kadhaa atlist, maana kwa sasa inaonesha hauna kitu na

unatarajia kuapata pesa ndipo uanze so kwanjni uache kazi kabla hauja settle..?
 
Kwanini uuze maji ya kandoro kwani wewe mwenyewe hauna maji ya kuuza?
 
Kwanini uache kazi na uuze maji ya kandoro na mayai? Kazi unalipwa sh ngap na maji ya kandoro unatarajia kuapata kiasi gani na kwa muda gani??

Usiache kazi mapaka pale utakapo luwa kamili kustart hiyo biashara yako

kwa aslimia kadhaa atlist, maana kwa sasa inaonesha hauna kitu na

unatarajia kuapata pesa ndipo uanze so kwanjni uache kazi kabla hauja settle..?
Nilishawatahadharisha suala la kuacha kazi lina mazingira yake. Naomba tujadili kile nilichokiombea ushauri. Tujitahidi kusoma vizuri pale post inapoletwa
 
Yaani mtaji wako wa hiyo biashara ya gypsum products unatarajia utoke kwenye hiyo biashara ya maji au kila moja inajitegemea?
 
Salama wakuu? Nimeamua kuacha kazi mwezi huu wa agosti 2021.(naomba nisiziweke kapuni sababu za kuacha kazi) Ninazirudia ndoto zangu za mafanikio kupitia businesses. Nilishasajili business firm pale brela. Bado tra na kwingineko. Nataka kuzalisha chalks na other gypsum products km ile mikanda yake(urembo). Nilishapata mafunzo ya chalks production pale sido vingunguti dsm.
Kwa sasa Sina mtaji. Kuna kahela nakasubiria(around 300k),nataka nianze kuuza maji ya kandoro na mayai ya kuchemsha ili nipate hela ya kula wakati nalipambania hili la firm ya chalk production.
Nimeifuatilia hii business ya water nimeona faida yake na urahisi wa kuanza.
KARIBUNI KWA MAONI,USHAURI,MAWAZO.HUENDA MNA KINGINE KILICHO BORA ZAIDI YA HIVI VYANGU.
ALAMSIKI
mkuu nakushauri usiuze kandolo badala yake nunua mkokoteni kwa 120k ,uuze maji ya 1.5l kwa jero jero, unaweza kuanza na carton 20, unatembeza location zenye mizunguko ya watu ukikomaa kumaliza hizi 20 carton unapata faida ya 10k kwa siku. unaweza mkokoteni wako ukaweka na sehemu ya vipakti vya sigara ukauza huko njiani.
ukishindwa yote njoo unifanyie market ya services na product zangu utapata commission pia.
 
Nilicho gundua wewe hujaamua kuacha kazi bali umeachishwa kazi maana hata hela ya mtaji huna pole sana mkuu
 
Kama hutojali mkuu naomba nitoke nje ya mada, naomba kuuliza imekuchukua muda gani hadi kumaliza process ya kusajili kampuni, Aina gani/mfumo gani wa kampuni umefungua maana naskia ni ngumu kufungua kampuni ukiwa Alone na kama ni hivo basi kuna Aina hiyo ya kampubi na gharama zake zikoje, na kwa kifupi ulideal vipi na mwanasheria, Naomba msaada wako

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Yaani mtaji wako wa hiyo biashara ya gypsum products unatarajia utoke kwenye hiyo biashara ya maji au kila moja inajitegemea?
Sitegemei utoke hapa. Hii ya chalk ni long-run,wakati nahangaikia hili nahitaji kitu cha kufanya. Nimechagua maji
 
Kama hutojali mkuu naomba nitoke nje ya mada, naomba kuuliza imekuchukua muda gani hadi kumaliza process ya kusajili kampuni, Aina gani/mfumo gani wa kampuni umefungua maana naskia ni ngumu kufungua kampuni ukiwa Alone na kama ni hivo basi kuna Aina hiyo ya kampubi na gharama zake zikoje, na kwa kifupi ulideal vipi na mwanasheria, Naomba msaada wako

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Mkuu sijasajili kampuni,ukisoma vizuri utaona. Ni partnership firm,tupo wawili. Ilinichukua miezi takribani mitatu hivi. Unafanya process zote online. Gharama zake haifiki 60k,hilo ni kadirio linalojumuisha ada na maandalizi ya docs zote. Karibu
 
Nilicho gundua wewe hujaamua kuacha kazi bali umeachishwa kazi maana hata hela ya mtaji huna pole sana mkuu
Hupaswi kunipa pole. Sio busara kutoa sababu za kuacha kazi. Nikupe pole wewe ambaye uko busy na mtaji. Asubuhi njema ndugu.
 
Asante kwa ushauri mkuu. Naku-pm kujua hizo deals zako
mkuu nakushauri usiuze kandolo badala yake nunua mkokoteni kwa 120k ,uuze maji ya 1.5l kwa jero jero, unaweza kuanza na carton 20, unatembeza location zenye mizunguko ya watu ukikomaa kumaliza hizi 20 carton unapata faida ya 10k kwa siku. unaweza mkokoteni wako ukaweka na sehemu ya vipakti vya sigara ukauza huko njiani.
ukishindwa yote njoo unifanyie market ya services na product zangu utapata commission pia.
 
Usiache kazi kwanza.
kama mtaji unao tayari basi ajiri vijana wawili watatu huku ukiendelea kuangalia upepo wa biashara.

kitu kizito zaidi huwa ni soko la bidhaa, sio rahisi kupata soko ndio maana huwa biashara nyingi zinazoanza huwa zinakufa mapema.

market penetration inaweza kukulia hata mwaka ndio utoboe.

Je, uko tayari ? Biashara mpya huwa na tabia ya kula kila kitu halafu ndio inainuka. Be careful
Asante mkuu. Japo Kuna mahali bado hujanisoma.
 
Back
Top Bottom