ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,914
- 2,971
Habari zenu wakuu ?? Kichwa cha habari kinavyojieleza simu yangu Samsung Galaxy s5 haina playstore ,
Pia ina kichina pamoja na baadhi ya application ,shida yake ni playstore haina wala youtube ,
Nilijaribu kudownload playstore nikainstall lkn ikashindikana inakuwa inajifunga kila ninapojaribu kuifungua ,
Na haina google ila ina tovuti zake na ukihitaji google lazima uandike www.google.com ndo itakuja ,
Hii simu nimejaribu ila sina udhoefu sana wa kuweka playstore ,au simu hii haiwezi install lkn ni android phone 6.0 ,kama kuna mwenye udhoefu naomba msaada wenu niweze kufanikisha juu ya hili .
Ndugu yangu Chief-Mkwawa naomba ukaribie ukiwa na jopo lako mnisaidie .
KARIBUNI SANA
Sent using Jamii Forums mobile app