Mkuu ushahidi niutoe hapa wakati watu wa Benki wamo humu humulete ushahidi wacha porojo. hatuezi fanyia kaz porojo zisizo na ushahidi
hapana, mi nataka ushauri najua kuna watu yalishawakuta kama haya before, ku share uzoefu nao ni jambo jema!!Lete nikutunzie mimi
Bange tena Mkuu, wakati mi nazungumzia mzigo kwenye acc sijui ulikotokea.Police Tanzania na DCEA ile Kampeni yenu ya kutokomeza Kilimo cha Bange na Matumizi yake kwa baadhi ya Watanzania imeishia wapi?
Mkuu Mil 300 au tuseme ni $130,500 hivi, zinihamishe nchi ? mbona ndogo nina familiaToa faster ukimbilie china
ndo nakwambia hapa nimedata!!Uo mzigo ungekuwa nao wala usingeongea chochote
Punguza kula kitu kimekukataando nakwambia hapa nimedata!!
Kama ndogo si ukaripoti bank husika, mbina unapata kiwewe kama ni ndogo?.Mkuu Mil 300 au tuseme ni $130,500 hivi, zinihamishe nchi ? mbona ndogo nina familia