simba jike
Senior Member
- Mar 23, 2017
- 182
- 535
Hahahah nikimaliza mafunzo nami nitaambukiza family yangu uderevaSasa hivi watapata wanafunzi wengi sana fungua na wewe ya kwako ukishajua kuendesha kumbuka wa Tanzania milioni 50 lazima wajue kuendesha
Si utani kampeni 2020 JPM atasindikizwa na honi kila anapokwendaHahahah nikimaliza mafunzo nami nitaambukiza family yangu udereva
Yaani itakuwa balaaSi utani kampeni 2020 JPM atasindikizwa na honi kila anapokwenda
Uwanja ninao mkuuUtapaki wap