Wakuu nimeachwa mwenzenu

Pole sana mkuu, mbona kuna warembo kibao humu sogeza mmoja kama yeye ulimpatia humu use same method, kama yeye kamwaga mboga mwaka ugali kwani nini? Maisha mafupi haya
 
Imagine unaachwa bila sababu ya msingi inauma sana mkuu mimi nampenda kuliko mwanamke yoyote. Sijawahi waza kua na mwanamke mwingine
Pole sana mkuu, mbona kuna warembo kibao humu sogeza mmoja kama yeye ulimpatia humu use same method, kama yeye kamwaga mboga mwaka ugali kwani nini? Maisha mafupi haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Quentin Beck,
Wasifu wa sifa siyo sifa ya hiari
Njoo upate maarifa hii siyo taarifa ya habar/
waigizaji wanaigiza kaole CD dukani
wakina dada wanaigiza ulokole mili buchani/

Ushauri wangu achana naye najua inauma ila vumilia kaza buti, ukiona mwanamke anakufanyia vituko bila sababu jua anakuona we boya tu kuna mtu anayemuona mjanja utageuka kuwa mtumwa wa pendo lake. Just move on japo inauma but never look back...
Futa namba yake
Futa picha zake
ondoa lolote litakalokufanya umkumbuke hata miziki ile aliyopenda ipotezee
 
Akizingatia hili amewin

Pole sana jipe moyo kuna maisha baada ya kuachwa na siyo kusema sijui utakuwa mgeni wa nani wewe ulitaka uwe mgeni wa nani?
 
Back
Top Bottom