Mzee nilijua utakua Kilimanjaro ama Iringa. Zanzibar mafridge yamejaa sawa na bure nenda mwana kwerekwe mpaka kwa mchina mwisho utapata ya kutosha nenda mlandege na malindi yamejaa kibao! kuhusu uimara unaweza ukaangalia capacity ya fridge kuanzia kampuni na model
naomba usaidi kuniulizia kampuni ya boss ltr 280 au 300k mpya ni sh ngapi pamoja na juice dispenser mitungi 3 mpya ni sh ngap mzee, nilinganishe na huku futuhi nami nahitaji
Kwanza unataka kwa ajili ya matumizi gani? Na zenye ukubwa gani? Sehemu ya kuzipata ni malindi msikiti wa Ijumaa, magomeni, na njia yote hiyo inayokwenda Amani kuanzia mwembeladu.