Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,213
- 20,988
Wakuu Niko Zanzibar nahitaji fudge kama 2 hivi, ni vitu gan vya kuangalia ili kupata fridge iliyo imara, na ni maeneo gan naweza pata mzigo
Mzee nilijua utakua Kilimanjaro ama Iringa. Zanzibar mafridge yamejaa sawa na bure nenda mwana kwerekwe mpaka kwa mchina mwisho utapata ya kutosha nenda mlandege na malindi yamejaa kibao! kuhusu uimara unaweza ukaangalia capacity ya fridge kuanzia kampuni na modelWakuu Niko Zanzibar nahitaji fudge kama 2 hivi, ni vitu gan vya kuangalia ili kupata fridge iliyo imara, na ni maeneo gan naweza pata mzigo