Wakuu ni hatari sana

Wanaugonjwa unaitwa mania
 
Dunia ipo, tuliikuta na tutaicha. Haya mambo ukisoma historia kuna washenzi walipata kutokea nyakati hizi tukasome.

Muhimu, keep your head up and live your life.
 
Dini hazisaidii kushape watu kuwa wema bali waoga wa kisichooneakana. Imani na Utii kwa Mungu ndio hufinyanga watu kuwa wema
Malezi bora ndio hufanya watu kuwa wema na imani ya Mungu hufanya watu kuwa wanafki
 
Malezi bora pekee hayatoshi,Imani kwa Mungu humpa mtu nguvu ya kuuishi wema consistently!
Huu utumbo umeandika sio kazi yangu kutoa pumba za kiimani ukizojifunza toka ukiwa mtoto ,hivyo unaweza kujifunza mwenyewe kama una akili.
 
Dunia ipo, tuliikuta na tutaicha. Haya mambo ukisoma historia kuna washenzi walipata kutokea nyakati hizi tukasome.

Muhimu, keep your head up and live your life.
Hakika Mkuu.
 
Nikushauri kitu achana nao fanya hivi wewe uko ndani yao utachagua kundi tu
Unajua leo watu wanaujinga tena unaenda mbali ndugu na wamtaani kwenu bac
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…