Waumini wameshashtukia mchongo...Jiulize hali hii imekuwa vipi angali dini zimezagaa za kila aina.
dini zimepoteanyoyoni na zimejidhihiri nyusoni.Jiulize hali hii imekuwa vipi angali dini zimezagaa za kila aina.
Dini hazisaidii kushape watu kuwa wema bali waoga wa kisichooneakana. Imani na Utii kwa Mungu ndio hufinyanga watu kuwa wemaJiulize hali hii imekuwa vipi angali dini zimezagaa za kila aina.
lipa kisasiNimesaritiwa Mkuu.
Tangu Sodoma na GhomoraHivi sasa na kuendelea tunaishi humu.
Maana watu ni wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi.
Wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda mema.
Wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu.
Wafiraji, wafirwaji, wajuaji Yani ni vurugu tupu.